Tanzania isipeleke wanawake Big Brother

Tanzania isipeleke wanawake Big Brother

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa ikiwakilishwa na wadada big brother nasikitishwa sana wanavyogegedwa ni bora wakawa wanaenda wanaume tu ili wawe wanagegeda maana inauma dada kugegedwa kuliko kaka akigegeda.
 
..inakuumia nini wakigegedwa? hee! we vipi?
 
Hahahaha...yaani umenifanya nibaki kucheka tu mkuu...

BBA nadhani ni suala binafsi na sio la Kitaifa...ndio maana hata serikali kupitia Wizara ya Utamaduni iliwahi kubainisha wakati fulani...
 
Siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa ikiwakilishwa na wadada big brother nasikitishwa sana wanavyogegedwa ni bora wakawa wanaenda wanaume tu ili wawe wanagegeda maana inauma dada kugegedwa kuliko kaka akigegeda.
Kwani wasipoenda huko huwa hawagegedwi..??? Tena hawa wasiokwenda hawatoi VoDa pekee, bali na TiGo pia...
 
Loooooooooooh!!!!!!!!! Sikutarajia kukutana na ulichoandika kwa hiyo kufanya uhuni kwa mwanamme ni sawa kabisa ila umalaya wa mwanamke ni kudhalilisha Taifa, maajabu ya ulimwengu. Kwa hiyo alichofanya Richard ni sifa kwa taifa na walichofanya Bhoke na wenzie ni fedheha kwa taifa.....jamaa yangu hatuna jina tofauti na kusema walifanya mapenzi hadharani na wamedhalilisha Taifa na utu wao na hawana tofauti na wanyama wasio na utashi. BBA ni mahali pasipo na staha na ambapo lengo lake ni kudhalilisha utu wa mwafrika na kutufanya sisi wengine kuwa mashabiki wa kutukuza kazi za shetani. To me BBA is not for my family or my relative....full stop..............................
 
Ni wachumba zako nn? Wacha watumie miili yao hata wewe ukitaka waombe watakupa
 
Loooooooooooh!!!!!!!!! Sikutarajia kukutana na ulichoandika kwa hiyo kufanya uhuni kwa mwanamme ni sawa kabisa ila umalaya wa mwanamke ni kudhalilisha Taifa, maajabu ya ulimwengu. Kwa hiyo alichofanya Richard ni sifa kwa taifa na walichofanya Bhoke na wenzie ni fedheha kwa taifa.....jamaa yangu hatuna jina tofauti na kusema walifanya mapenzi hadharani na wamedhalilisha Taifa na utu wao na hawana tofauti na wanyama wasio na utashi. BBA ni mahali pasipo na staha na ambapo lengo lake ni kudhalilisha utu wa mwafrika na kutufanya sisi wengine kuwa mashabiki wa kutukuza kazi za shetani. To me BBA is not for my family or my relative....full stop..............................
Wote wahuni tu... Hawajadhalilisha taifa, ila wanajidhalilisha wenyewe, na ndiyo maana hawakabidhiwi bendera...

Siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa ikiwakilishwa na wadada big brother nasikitishwa sana wanavyogegedwa ni bora wakawa wanaenda wanaume tu ili wawe wanagegeda maana inauma dada kugegedwa kuliko kaka akigegeda.

inaelekea vijana wanaokuja kwenu kuwacheck dada za/yako unawapa shida sana manake una mawazo ya ki conservative sana!
 
Wote wahuni tu... Hawajadhalilisha taifa, ila wanajidhalilisha wenyewe, na ndiyo maana hawakabidhiwi bendera...

Mkuu nashukuru umeniunga mkono ila ninaposema wanadhalilisha Taifa japo hawakabidhiwi bendera ni kama wale wanaokamatwa na madawa ya kulevya ambao wamefanya Unaposema wewe mtanzania baadhi ya viwanja vya ndege unapelekwa chumba maalum kwa ukaguzi zaidi...hawa pia wanajitambulisha kama Watanzania huko kwenye danguro lao...Cha kufanya tushauri washiriki wasijitambulishe kwa Utaifa wao.
 
ule ni utamu wewe na ni haki ya kila binadamu
 
Mkuu nashukuru umeniunga mkono ila ninaposema wanadhalilisha Taifa japo hawakabidhiwi bendera ni kama wale wanaokamatwa na madawa ya kulevya ambao wamefanya Unaposema wewe mtanzania baadhi ya viwanja vya ndege unapelekwa chumba maalum kwa ukaguzi zaidi...hawa pia wanajitambulisha kama Watanzania huko kwenye danguro lao...Cha kufanya tushauri washiriki wasijitambulishe kwa Utaifa wao.
having sex sio 'kudhalilisha taifa'. its natural na hawajamdhuru mtu. una compare sex with drug trafficking, are you insane?
 
Rudio nilichoandika kwa umakini zaidi unaweza kuelewa nimaanishacho.
 
Back
Top Bottom