baraza la mawaziri la nchi husika.
watanzania si utani iq zetu zimehama mlinganyo ndio maana tunaishi kwa upambe na makelele na kusaini mikataba ya kikanjanja hatuna kumbukumbu mheshimiwa wetu aliwahi kubishia documentary yani ukweli wa mtu na camera juu ya mapanki
kwanza hata hiyo 72 nna wasiwasi nayo itakua chini ya hapo achen jaman taifa letu lina majitu majinga sana.
A think it comes with adaptation of enviroment.,.kibongo bongo 2mezaliwa 2naona chakula kila kona.,we don't need 2hustle hard 2 survive..but wenze2 sasa..they need 2b creative kutokana na kukosa ardhi yenye ru2ba...
siamini kwa hilo maana IQ iko kwa individual person how come wajue kuwa watz tuna IQ ndogo?
Mkuu, Sisi na Sudan ni wa mwisho siyo wa pili kutoka mwisho.
kwanza hata hiyo 72 nna wasiwasi nayo itakua chini ya hapo achen jaman taifa letu lina majitu majinga sana.
Nadhani huwa wanampima mtu mmoja kila taifa, na mtu huyo ni rais wa nchi.