Tanzania population growth trend. A blessing or curse?

Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
295
221
The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and Housing Censuses on a de facto basis in accordance with the United Nations (UN) Principles and Recommendations for conducting population and housing censuses.

Data collected in these censuses show that the Tanzania’s population has increased about five times since 1967 from 12,313,469 persons in 1967 to 61,741,120 persons in 2022. The 2022 census enumerated 61.7 million persons representing an average annual intercensal population growth rate of 3.2 percent during the 2012 – 2022 period compared to 2.7 percent recorded in the 2002-2012 period.
NOTE
Fertility rate : 4
Children 46%
Aged: 3.6%
Dependency ratio: 87.4%
Urban population: 30%
Rural population:70%
Workforce by sector:
Agriculture: 75%-80%
Industry: less than 10%
Service: less than 10%
Unknown: above 10%

1711180358359.png
1711180729614.png

A blessing or curse?
 
View attachment 2942382View attachment 2942387
A blessing or curse?
Numbers are not the issue, is how population is utilized by gov for country development, that will determine if it is a blessing or curse
 
Chanzo kikuu cha umaskini nchi hii ni kuzaana hovyo. Familia nyingi zinashindwa kumudu hata mlo .mmoja. Familia kama hizi hazilipi Kodi yoyote.

Hii ndiyo kusema sehemu kubwa ya watanzania hawachangii chochote kwenye uchumi wa nchi.

Kwahiyo ongezeko hili la watu ni laana
 
wingi wa watu sio tatizo bali ni silaha, tatizo ni CCM kushindwa kuitumia vizuri population tulionayo
 
The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and Housing Censuses on a de facto basis in accordance with the United Nations (UN) Principles and Recommendations for conducting population and housing censuses.

Data collected in these censuses show that the Tanzania’s population has increased about five times since 1967 from 12,313,469 persons in 1967 to 61,741,120 persons in 2022. The 2022 census enumerated 61.7 million persons representing an average annual intercensal population growth rate of 3.2 percent during the 2012 – 2022 period compared to 2.7 percent recorded in the 2002-2012 period.
NOTE
Fertility rate : 4
Children 46%
Aged: 3.6%
Dependency ratio: 87.4%
Urban population: 30%
Rural population:70%
Workforce by sector:
Agriculture: 75%-80%
Industry: less than 10%
Service: less than 10%
Unknown: above 10%

View attachment 2942382View attachment 2942387
A blessing or curse?
Age GroupBoth SexesPercentMalePercentFemalePercent
Total59,851,34710029,137,63810030,713,709100
0-49,207,43115.44,584,97115.74,622,46015.1
5yrs-9yrs8,654,73714.54,302,57714.84,352,16014.2
10yrs-14yrs7,766,213133,919,61013.53,846,60312.5
15-196,083,49710.23,000,55010.33,082,94710
20-245,380,20292,474,2378.52,905,9659.5
25-294,569,9987.62,146,0487.42,423,9507.9
30-343,824,8966.41,840,5166.31,984,3806.5
35-393,103,5235.21,483,2455.11,620,2785.3
40-442,626,9354.41,275,0904.41,351,8454.4
45-492,221,4973.71,089,4543.71,132,0433.7
50-541,795,5013878,6693916,8323
55-591,210,3542596,3742613,9802
60-641,120,1561.9539,6031.9580,5531.9
65-69684,4351.1320,4531.1363,9821.2
70-74610,7601281,1181329,6421.1
75-79365,5030.6162,5540.6202,9490.7
80-84286,6320.5115,8240.4170,8080.6
85+339,0770.6126,7450.4212,3320.7
 
What do you think? I seems that according to your post .. ya mindset tell us it curse Tanzania to have a lot of people..
 
Numbers are not the issue, is how population is utilized by gov for country development, that will determine if it is a blessing or curse
How the Population is USED by the Government?

The government USE its citizens?

For what ndugu?

How can govt USE people?
 
Hebu niambie wananchi wanakua UTILIZED na serikali kivipi?

Nipe mfano mmoja tu
Well that easy, ninatolea mfano china.
While hii ni combination of policies at labor mobilization
Kwao idadi kubwa ya watu imekuwa advantage kwa viwanda. Moja ya policy yao ni kuwa na viwanda vingi vikubwa, hivi vitahitaj idad kubwa ya wafanya kazi, results population inakuwa na mchango mkubwa kwenye growth ya viwanda

Pia uanzilishi wa viwanda vingi, inapelekea nguvu kazi kubwa kuhitajika, currently wana pull watu kutoka vijijini maana mahitaji ni makubwa kwa viwanda, hivyo kufanya population kuwa productive.

Chinese diaspora pia wanaleta mchango mkubwa kwa nchi yao, kwa ku bring technology growth na uzoefu kutoka mataifa mengine, lakin kupitia hili linakuja na chinese influence kimataifa kwneye nchi husika

Huu ni mfano mdogo tu
 
Mkuu

Naona umeandika vitu virefu visivyo na maana

Nimekuambia nipe mfano mmoja tu "serikali inatumia wananchi" kivipi

Serikali inahusika vipi na kujenga viwanda?

Serikali inahusika vipi na hela za watu waliopo diaspora wanawatumia ndugu zao,serikali inahusika nini na jasho la watu?

Serikali haina uwezo wa kufanya innovation wala kugundua technologies,hizi wanagundua wananchi na sio serikali

Viwanda wanajenga wananchi na sio serikali,mitaji binafsi ya watu

Serikali haina uwezo wa KUTUMIA watu..wao wanashughulika na POLICIES tu,na policies ni sheria za mchezo,actors wote tuliopo kwenye huu mchezo tuzifate including govt itself
 
The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and Housing Censuses on a de facto basis in accordance with the United Nations (UN) Principles and Recommendations for conducting population and housing censuses.

Data collected in these censuses show that the Tanzania’s population has increased about five times since 1967 from 12,313,469 persons in 1967 to 61,741,120 persons in 2022. The 2022 census enumerated 61.7 million persons representing an average annual intercensal population growth rate of 3.2 percent during the 2012 – 2022 period compared to 2.7 percent recorded in the 2002-2012 period.
NOTE
Fertility rate : 4
Children 46%
Aged: 3.6%
Dependency ratio: 87.4%
Urban population: 30%
Rural population:70%
Workforce by sector:
Agriculture: 75%-80%
Industry: less than 10%
Service: less than 10%
Unknown: above 10%

View attachment 2942382View attachment 2942387
A blessing or curse?
Hii umeiibua wapi? Saa ingine tuwe waangalifu maana Census ya mwisho ilikuwa 2022 na matokeo yake yapo online. Hii inaonesha umeikopi mahala (ya zamani) na kuikimbiza hapa JF
 
Mkuu

Naona umeandika vitu virefu visivyo na maana

Nimekuambia nipe mfano mmoja tu "serikali inatumia wananchi" kivipi

Serikali inahusika vipi na kujenga viwanda?

Serikali inahusika vipi na hela za watu waliopo diaspora wanawatumia ndugu zao,serikali inahusika nini na jasho la watu?

Serikali haina uwezo wa kufanya innovation wala kugundua technologies,hizi wanagundua wananchi na sio serikali

Viwanda wanajenga wananchi na sio serikali,mitaji binafsi ya watu

Serikali haina uwezo wa KUTUMIA watu..wao wanashughulika na POLICIES tu,na policies ni sheria za mchezo,actors wote tuliopo kwenye huu mchezo tuzifate including govt itself
Nadhani wewe ndio hujanielewa, nimekupa mfano mdogo wa china, how goverment inahusika kwenye hilo. maybe serikali haiusiki kujenga viwanda, but inahusika kutengeneza policy zinakazo support hivyo. Nimetolea mfano china, do you think wamefika out of thin air without goverment hand?
Na serikali yao haswa ya ccp. Ina regulate almost everything,

Suppose gov of china ingekuwa imelala or isingeona advantage within their growing population? Wangekua hapo walipo leo?
 
Naona una nyege kali sana na China

China huijui,haupo wala sisi wengine hatupo pale na wote kwa pamoja hatujui lolote kuhusu viwanda vya China

Kwanini tusiongelee nchi tuliyopo?Ambayo ni TZ?Kila mmoja wetu hapa anaijua

Serikali haina uwezo wala akili ya kujenga viwanda

Na ikijenga vitakua ni vichache na haijui jinsi ya kuviendesha

Viwanda vinajengwa na wananchi kwa mitaji yao na mikopo yao na ndio wenye akili na uwezo wa kusimamia biashara zikafanya kazi

Kazi ya kutafuta mali ni kazi ya wananchi na sio serikali

Tunarudi kwenye Serikali KUWATUMIA wananchi,tangu lini serikali INATUMIA wananchi kwa lolote?

Serikali inajua kujenga POLICIES tu.....na policies SIO KUTUMIA wananchi,mbona unataka tudanganya kijinga hivi?
 
Hahaha , umenischekesha sana, naona hatuelewani au hutaki una different agenda Yes hatupo sawa china, hatuna uwezo kuliko china. But then china ni mfano tu, hatuwez fanya kila kitu kama wao but machache tunaweza iga, yes tupo tanzania serikal changa ni kweli, population inaongezeka , je tunaitumiaje?

Is why nikatolea mfano, additional eg ni korea pia

Suala la how china inatumia population yake to its advantage mbona iko wazi, si suala la kuficha. Siwez weka yote hapa itakuwa makala. Lakin if you are interested unaweza search.
 
Kwahiyo wewe unaona ni sawa Serikali kumiliki njia zote za UCHUMI kama China?

Like really?

Do you know why China succeeded?Investment money from the West

Serikali yako haina hela,ina invest wapi wakati haina hela?

Na hapa naomba tukubaliane,HAKUNA MAHALI SERIKALI INATUMIA WANANCHI kwa chochote!
 
Back
Top Bottom