Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani mwaka 2025 endapo Magufuli angemaliza miaka mitano ya utawala wake?

Ingefikia hatua angeanza biashara ya "KUTUUZA RAIA KAMA WATUMWA" kwenye mataifa mengine, angekuwa anatuweka kwenye matenga kama ya kuuzia kuku, ili alipe madeni.

Kile kiumbe sio kabisa, kilikua kama kimekata fuse kadhaa kichwani.
 
Si walikubaliana kumuongezea muda kwa lazima. Kwahiyo hapo mkuu ungerekebisha kichwa cha uzi kisomeke
"Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani endapo Magufuli angemaliza muda wa utawala wake??"
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Kila mtu maskini, watu wanavaa¡+/¡) manyakunyaku, Tanzania iliyotengwa kama Afrika kusini ya makaburu, vita vya wenyewe kwa wenyewe, mauaji ya kutisha, nchi yenye miundombinu, ndege, vivuko, reli, barabara, viwanja vya ndege bora zaidi duniani, hospitali nyingi zisizo na matabibu na dawa, dhehebu moja la dini lakini watu wake dhofiri hali wasio na matumaini na Shujaa mmoja Kinjenketile Ngwale anaitwa Juma Pamba Manga, JPM!
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Kabla ya kujibu hilo swali lako niseme tu kwamba sikuwa nategemea kwamba "angemaliza", na kuondoka madarakani hiyo 2025. Dalili zote zilionyesha angebaki.

Hili lilinitia hofu kubwa sana kwa Tanzania yetu. Lilininyima raha kabisa.

Kujibu swali lako, kama angeendelea na kasi yake ya uonevu, chuki, ukandamizaji aliyoionyesha katika kipindi cha miaka mitano ya mwanzo, basi Tanzania ingekuwa ni nchi yenye majonzi makubwa sana.

Tanzania tungekuwa ni taifa lililojitenga na jumuia ya kimataifa, pengine tungekuwa karibu zaidi na Korea Kaskazini kidiplomasia.

Uchumi? Hali ingekuwa ngumu sana, maana hili limeambatana sana na mahusiano ya kimataifa.
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Tungekuwa taifa la hovyo kabisa ulimwenguni
 
Mimi alinichekesha anawaambia wana kagera eti serikali haiwezi kuwasaidia kwa sababu yeye hajaleta tetemeko, siku chache baadae anatoa ndege ipeleke misaada Zimbabwe! Yaani jamaa siku nikienda mbinguni nikakutana nae nitarudi tu duniani kuendelea na maisha yangu.
Alikuwa katili sn
 
Back
Top Bottom