Tanzania ingekuwa nchi ya aina gani mwaka 2025 endapo Magufuli angemaliza miaka mitano ya utawala wake?

Mimi na familia yangu nahisi, tungekuwa tukitembea kama ile ya watu 7, iliyotembea bila hata chupi kutoka kijiji hadi kijiji.🤔🤔 Aisee!

Everyday is Saturday................................😎
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
Tungekuwa mbali sana, uchumi wa kati wa juu. Pamoja na mazongemazonge aliyofanya shujaa wa Afrika, nchi ilipanda kutoka kundi la mafukara.
 
Matajiri wote wangeshakua mashetani
Maskini wote wangeshakua Mazombi
Mafukara wote wangeshakua misukule
Bunge lingelikuwa halina kazi tena tungelibana matumizi sana, maana unakaa na mafaili ofisini halafu nyuma ya mikamera unatumbua ambaye haindeni na kasi ya mapambio ya 'prease team' 'one Man show '
 
Hapo ni mawili tu. Wote muwaze na kupambanua mambo Kama anavyowaza YEYE kitu ambacho ni kigumu au nusu mpotezwe Kama alivyohutubia Wakati amepewa uanyekiti. Kwa kua la kwanza haliwezekani Basi familia nyingi zingekua yatima kufikia 2025
 
Tungekuwa na uwanja wa mpira wa kuchukua watu laki moja Chato wakati Chato yenyewe ina watu elfu 20.
 
Miaka mitano ya kipindi cha pili cha Magufuli ilikatishwa ghafla na kifo chake. Endapo miaka hiyo ingeisha akiwa bado Rais wetu uliitegemea Tanzania ya gani mwisho wa utawala wake?

Taswira gani inakujia kichwani ukitafakari kama angemaliza kipindi chake cha uongozi akiwa hai?
deni la taifa lingefikia trilioni 500
 
Back
Top Bottom