Tanzania inazidi kuchafuka kimataifa!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,027
Reaction score
142,938
Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!

Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.

Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania.

Sifa ya nchi ishachafuka na watawala wamekuwa mabubu!

Leo tumezungumziwa hivi na Firstpost:
==============
Wanaharakati wawili kutoka Kenya na Uganda wameibuka hadharani wakitoa madai ya kusikitisha kuhusu ukatili wa kingono waliodai kufanyiwa walipokuwa kizuizini jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wanasema walikamatwa baada ya kuonyesha uungwaji mkono kwa kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Kwa mujibu wa wanaharakati hao, walitekwa kutoka katika vyumba vyao vya hoteli, wakawekwa chini ya ulinzi mkali, na kuhojiwa kwa muda mrefu huku wakikumbana na vipigo na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa maafisa wa usalama wa Tanzania. Maelezo yao yanatisha na yanaonyesha hali ya kuvunjwa kwa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa unaozidi kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Your browser is not able to display this video.
 
Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo
Wakati enzi zile yule bwana alifanya mambo yanayofanana kama hayo na wewe ulikuwa mstari wa mbele ukisema ananyosha nchi na victims mliwaita wajinga na wamejitakia.

Sometimes haya mambo bwana mpaka yakukute ndio utaelewa.
 
Hatuwezi kuchafuka kamwe kwa sababu ya hawa akina Boniface Mwangi na Agatha Athuhire. Hawa ni mawakala wa OSF ya George Soros na Ford Foundation ambazo ndizo zinawapa fedha ku promote LGBTIQ kwa kivuli cha human rights.

Hivi jiulize ni kwa mapenzi gani raia wa Kenya na Uganda anaweza kusafiri Business Class kwenye ndege na kulala Serena Hotel chumba cha USD 400 per night, kisa kuhudhuria kesi ya Tundu??

Jaribu mkuu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kabla hujatetea mada yako. Otherwise kichwa chako kitakuwa dispenser ya mate tu
 
Mambo ya kutesa kwa zamu .. ....Stuxnet in the House😀
 
🖕🖕
 
Wewe nawe umekuwa chawa wa Samia huna tofauti na ndugu yako Lucas Mwashambwa
 
Hakuna activist ambaye amewahi kusimama na kufanya promotion ya LGBTIQ. They just acknowledge that we have that kind of people in our communities. Tusiwabague—ni binadamu kama binadamu wengine. Hardliners hawataki kuwa wakweli ingawa ukweli wanaujua. They’re there and have been there since time immemorial. The real question is, what do we do about them? Tuwaue wote? Kujifanya hatuna watu kama hao kwenye communities zetu ni foolishness!
 
Wakati enzi zile yule bwana alifanya mambo yanayofanana kama hayo na wewe ulikuwa mstari wa mbele ukisema ananyosha nchi na victims mliwaita wajinga na wamejitakia.

Sometimes haya mambo bwana mpaka yakukute ndio utaelewa.
Hakufikia kiwango cha huyu JIHAD huyu hana hofu wala aibu , inaonekana alipo fikia kaamua liwalo na liwe.
 
Sasa akili yako ndogo unaelewa nini kuhusu kuchafuka wewe.
 
Safari zake za nje zianze na kuishia huko huko barani Africa. Tukimuona huku kwingine tutampa real-time dress down.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…