Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
nchi imajaa mazuzu na mazezeta mkuu,miaka 50 ya uhuru,bado kuna watu(sio binadam) wanaota ccm iendelee kutupeleka gizan zaidi.KIDUMU CHAMA CHA M...Wananchi wamekosa huduma ya umeme wa uhakika, bila aibu Mh. Pinda anatangaza ongezeko la kupanda kwa bei.
Jamani kama sio wizi ni nini? Mtu uongezewe bei ya huduma ambayo huipati.
Kweli dunia inatucheka, yaani tunasukumwasukumwa na sisi tunakubali.
Kuna haja ya kuandamana kupinga ongezeko hili la bei. Wakitaka wazime kabisaaa mitambo yao
nchi imajaa mazuzu na mazezeta mkuu,miaka 50 ya uhuru,bado kuna watu(sio binadam) wanaota ccm iendelee kutupeleka gizan zaidi.KIDUMU CHAMA CHA M...
Uzalishaji una gharama kubwa kwa sasa. Uzalishaji unaghara umeme wenyewe uko wapi? Waacheuyeyushaji hawa jamaa!
we ndo msemaji wa Tanesco???Uzalishaji una gharama kubwa kwa sasa.
Sio uzalishaji ndo wenye gharama,Uzalishaji una gharama kubwa kwa sasa.
Uzalishaji una gharama kubwa kwa sasa.
Mazee sio kila kitu chenye lebo ya US kinalipa, hata changa la macho la Richmonduli lilianzia Merekani.hivi,wale wamerekani waliokuja kwa mbwembwe na mrs clinton wameishia wapi na mitambo ya dowans? ama nao wanasubiria muda uende waanze kuvuta kwa ustaarabu? manake sasa hivi mgao hauna ratiba tena,umegeuka mgao wa giza!
. Akitaka kupumzika ajiuzuluJamani Pinda ametumwa. Mwacheni apumzike asije shusha chozi.
kama wanaona kuwa kupandisha bei kutaleta uboreshaji wa sekta ya umeme, mimi naona hamna haja ya kubishana nao. Kama watashindwa kuboresha huduma hiyo huku tunalipa pesa kubwa hapo ndipo nitawapinga. Tujue kuwa kama tunataka huduma nzuri, tukubali gharama. Ngoja nione mwezi wa 12 itakuwake kulingana na ahadi zake.Wananchi wamekosa huduma ya umeme wa uhakika, bila aibu Mh. Pinda anatangaza ongezeko la kupanda kwa bei.<br />
Jamani kama sio wizi ni nini? Mtu uongezewe bei ya huduma ambayo huipati.<br />
Kweli dunia inatucheka, yaani tunasukumwasukumwa na sisi tunakubali.<br />
Kuna haja ya kuandamana kupinga ongezeko hili la bei. Wakitaka wazime kabisaaa mitambo yao