Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

Sijakuelewa kabisa unataka kusema miaka 20 iliyopita Marekani , Canada na England ndio walikuwa wanatumia 4G na tokea wanze kutumia 5G imeshapita miaka 20?
Teknolojia hapa sijaeleza kwa kufafanua 3G, 4G na 5G nah! Teknolojia wanaosema wao ni general. Mimi sio mtaalamu wa Telecommunications

Mfano naweza kupa huu Nyanya, Kitungu na Mchele unatoka the same Tanzania, Colombia, Marekani, SA au China lakini mashamba na mfumo wa upandaji na uvunaji sio sawa hii ndio maana. Sema sina namna ya kuelezea ki-Telecommunication.
 
Mkuu ni kweli suala la vifurushi Mifumo inatofautiana baina yetu na yao, yote ina advantage zake, ila kusema tunatumia tech za miaka 21 iliopita si sahihi.

1.japo tumerudi nyuma suala zima la mobile network awamu iliopita, ila kabla ya Hapo tulikuwa ni viongozi even kwa level za Dunia, mwaka 2012 Tayari tuna 4g, wakati 4g ni changa, na sio tu tuna 4g Bali tulikuwa na Vifurushi vya Unlimited vya kutosha, mfano smile walishika sana maofisi mengi na 4g unlimited.

2.hatukuishia hapo tuliiupgrade 4g yetu kwenda lte advance, kuanzia Tigo, voda, Halotel etc zote ukawa unapata speed ya maana, na Tigo coverage yao ilifikia Miji yote Tanzania nzima.

3.kwenye 5g tumerudi nyuma, Nchi nyingi Hadi za Africa Nyengine zimetupita na hili linaeleweka.

4. Kuhusu Broadband za majumbani na wifi ni kweli tupo nyuma sana, fiber zinapatikana kwenye majiji makubwa tu, Tena katikati, ukitoka nje kidogo hakuna Access.

Nafkiri hao jamaa walidhani tunatumia Adsl ama dial up connection, tech ya kizamani ya mitandao ya simu,
 
Sasa kwanini ujadili kitu ambacho wewe siyo mtaalam. Ni ujinga wa hali ya juu kujadili kitu hufahamu. Ndiyo maana hapa JF kila mtu kama akina Retired na akina Erythrocyte ni wataalam wa kila kitu, ije siasa, ije sheria jana ati udaktari!

Ulitakiwa kuelimishwa tu si kujadili, wanajadili wenye utaalam wa hiyo mada.
 
Nadhani public wifi ,huduma hii haipo kabisa miji yetu.
Oh, sawa kabisa, sasa nimeelewa, kuna wakati Cocacola walijaribu kuweka hiyo huduma kwenye maeneo ya stand lakini ilikuwa week sana na sijui kama mitambo ile ipo tena
 
Sio kukosa Wi-Fi kabisa ila kuwa haipatikani kila pahali nchini. Mfano nchi nyingi za ughaibuni Wi-Fi iko karibu 95% ya nchi na kuna zile pocket WiFi pia bei rahisi kulingana na hali ya maisha yao. Na speed ipo nzuri tu. Kumbuka pia kuna sehemu wifi bure kabisa nchi hizo sana sana, mashuleni, kwenye transport systems nk. Sasa tofauti yetu na wao ndipo inapoingilia.
Well clarified, thanks
 
Sasa kwanini ujadili kitu ambacho wewe siyo mtaalam. Ni ujinga wa hali ya juu kujadili kitu hufahamu. Ndiyo maana hapa JF kila mtu kama akina Retired na akina Erythrocyte ni wataalam wa kila kitu, ije siasa, ije sheria jana ati udaktari!

Ulitakiwa kuelimishwa tu si kujadili, wanajadili wenye utaalam wa hiyo mada.
Tizama usije kuwa wewe ndiye mjinga wa hali ya juu! Thread yangu nimehitimisha kwa kuuliza maswali kufahamu, na sikuzungumza issue ulizoleta za 3G na 4G.
 
Mkuu ni kweli suala la vifurushi Mifumo inatofautiana baina yetu na yao, yote ina advantage zake, ila kusema tunatumia tech za miaka 21 iliopita si sahihi.

1.japo tumerudi nyuma suala zima la mobile network awamu iliopita, ila kabla ya Hapo tulikuwa ni viongozi even kwa level za Dunia, mwaka 2012 Tayari tuna 4g, wakati 4g ni changa, na sio tu tuna 4g Bali tulikuwa na Vifurushi vya Unlimited vya kutosha, mfano smile walishika sana maofisi mengi na 4g unlimited.

2.hatukuishia hapo tuliiupgrade 4g yetu kwenda lte advance, kuanzia Tigo, voda, Halotel etc zote ukawa unapata speed ya maana, na Tigo coverage yao ilifikia Miji yote Tanzania nzima.

3.kwenye 5g tumerudi nyuma, Nchi nyingi Hadi za Africa Nyengine zimetupita na hili linaeleweka.

4. Kuhusu Broadband za majumbani na wifi ni kweli tupo nyuma sana, fiber zinapatikana kwenye majiji makubwa tu, Tena katikati, ukitoka nje kidogo hakuna Access.

Nafkiri hao jamaa walidhani tunatumia Adsl ama dial up connection, tech ya kizamani ya mitandao ya simu,
Umeongea vema kwa kuongezea ADSL bado inatolewa nadhani na TTCL. Hii ni kutokana na ukweli kwamba inaweza ku offer bandwidth(speed) kubwa (zaidi ya 2mbps). Ingawa changamoto kubwa ni miundo mbinu yake (copper wire ) mingi imechakaa na wezi wa nyuma chakavu huzivuna sana.

TTCL wakijaribu project ya fibre to home lakini naona walichemka mahali.
 
Tizama usije kuwa wewe ndiye mjinga wa hali ya juu! Thread yangu nimehitimisha kwa kuuliza maswali kufahamu, na sikuzungumza issue ulizoleta za 3G na 4G.
Mimi sijazungumzia 3G au 5G! Ulisema wewe si mtaalam wa Telecomunication pale mwisho. Wakati mwanzo ulisema mlikuwa na mjadala. Ni utoto kujadili kitu cha kitaalam na wataalam wakati wewe huna utaalam. Ungalisema ulikuwa msikilizaji hakuna mtu angalikulaumu.

Rejea:
Teknolojia hapa sijaeleza kwa kufafanua 3G, 4G na 5G nah! Teknolojia wanaosema wao ni general. Mimi sio mtaalamu wa Telecommunications

Mfano naweza kupa huu Nyanya, Kitungu na Mchele unatoka the same Tanzania, Colombia, Marekani, SA au China lakini mashamba na mfumo wa upandaji na uvunaji sio sawa hii ndio maana. Sema sina namna ya kuelezea ki-Telecommunication.
 
Mimi sijazungumzia 3G au 5G! Ulisema wewe si mtaalam wa Telecomunication pale mwisho. Wakati mwanzo ulisema mlikuwa na mjadala. Ni utoto kujadili kitu cha kitaalam na wataalam wakati wewe huna utaalam. Ungalisema ulikuwa msikilizaji hakuna mtu angalikulaumu.

Rejea:
Yes! Sio mtaalamu ndio sababu ya kusema hivyo baada ya baadhi kutoka nje ya swali langu mwisho wa thread. Jikite kujenga hoja pasi ya kujali nani anajadili na nani.

Nashangaa kuona unatumia nguvu nyingi katika negativity katika maandiko yako hapa na katika mada nyingine kuliko kujadili kitaalamu kama unavyodai.
 
Unatumia nguvu kujiondoa kati hili la kujadili kitu usichokifahamu. Kubali kukosolewa. Acha kujadili kitu ambacho si mtaalam wake. Ni vyema kuwa mwanafunzi. Ona sasa, mimi hujui utaalam wangu na unataka niwe kama wewe kila mada nijadili kitaalam wakati huo utaalam pengine sina.
 
Back
Top Bottom