Usikute ndo yeye mwenyewe alikuwa akijipigia debe kwamba ndiye Rais Mtarajiwa, Maana sauti kama ya mwendazake hii. Ukijibu hii post nitajuwa haikuwa jiwe bali ni wewe mtu mwingine.Wakuu tuache kufikiria tawala za kijeshi.Mimi nadhani tupate raia mmoja tu mzalendo mwenye vision na uchungu wa kweli na maendeleo ya nchi hii.Hawa watu wapo isipokuwa bado hawajapewa nafasi au wanabaniwa au wanavurugwa na system isiyoitakia mema nchi.
Embu tuchukulie mfano tumpe urais Pombe Magufuli leo hii,hivi hatutaweza kusonga kweli?
Ukiambiwa inahitajika siyo lazima kuwepo na perfect institutions au kuiga madikteta siyo sawa. Trump kwa mfano kitendo kile kimempeleka mahakamani!. Akina Urusi na China hivyo ni vidikteta vinavyojulikana.Hiyo strong institution iko nchi gani? Au Russia ambako Putin anajiongezea muda wa kutawala? Au China ambao wameondoa ukomo wa kuongoza rais wao?
au Marekani ambapo Trump analazimisha kujenga ukuta na ukaanza kujengwa ana kuja rais mwingine anapuuzia,au Trump pale anazuia raa wa nchi fulani wasikanyage,anaingia mwengine anaondoa hiyo marufuku.
Nieleweshe kiongozi ni nchi ipi.
Kama mtu anakosea kuchagua mke atashindwaje kukosea kuchagua kiongozi?Wabongo leo unamdiss kama sio wewe
watanzania ni wanafiq kupita maelezo, rais wa aina waliotaka mungu akamleta bt hao hao tena wanamponda na kumshukuru mungu kwa kumuondoa. HII NCHI NI NGUMU SANA MKUU.10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha
Aseeee hatujui tunataka nini kwa kweli, note my words hata huyu samia few years to come watu watakuwa wamesha mchoka, wataomba aje kiongoz mwingine.watanzania ni wanafiq kupita maelezo, rais wa aina waliotaka mungu akamleta bt hao hao tena wanamponda na kumshukuru mungu kwa kumuondoa. HII NCHI NI NGUMU SANA MKUU.
Aisee nilikosea, ngoja nirekebishe chapchap
wabongo ni watu hatari sana.Aseeee hatujui tunataka nini kwa kweli, note my words hata huyu samia few years to come watu watakuwa wamesha mchoka, wataomba aje kiongoz mwingine.
Nilikosea tu mkuu ila akili zangu ni nzima kabisa. Nimerekebisha tayari. Uwe na siku njema.Akili zako sio nzima kama Mwendazake Hamnazo,Mkapa alikuwa Rais 2009?
Unafiki upo kwenye nini ?watanzania ni wanafiq kupita maelezo, rais wa aina waliotaka mungu akamleta bt hao hao tena wanamponda na kumshukuru mungu kwa kumuondoa. HII NCHI NI NGUMU SANA MKUU.
Wabongo we waone tu! 5-10yrs later utasikia...haya angeweza Magufuli tu...laiti Magufuli angekuwepo... Magufuli ndo alikuwa Rais na bla bla kibao.10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha 😂😂😂 kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Hii point ilikuja kuwa kweliTunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Unachokitaka siyo rahisi kukipata katika dunia iliyojaa wapigaji.Ukiambiwa inahitajika siyo lazima kuwepo na perfect institutions au kuiga madikteta siyo sawa. Trump kwa mfano kitendo kile kimempeleka mahakamani!. Akina Urusi na China hivyo ni vidikteta vinavyojulikana.
Hatutaki kupata watu ambao hawajali kujenga taasisi ya urais na badala yake wao wanakuwa ndio taasisi na rais asiyeheshimu hata katiba aliyoapa kuilinda.
Awamu ya tano ilikuwa somo tosha la haya.
SSH akipewa taasisi imara atakuwa rais bora Africa. Anaonekana kutaka kuheshimu utawala wa sheria ambao haujakuwepo. Hatuhitaji mafyatu! tunahitaji watu makini kwenye taasisi makini.
Yule alikuwa zaidi ya fyatuMlimpata Rais Fyatu mkamkataa.
Basi utakuwa hujijui! Kiongozi umpendekeze 2009 ukivutiwa na utendaji wake 2019 umkatae kwa nguvu zote Kwa utendaji ule ule...???!!!Kama mtu anakosea kuchagua mke atashindwaje kukosea kuchagua kiongozi?
Unajua hata enzi za ujana wangu enzi nadeti na mazaako, yeye ndo alijua kafanya kosa kudeti na bazazi, ndo akaenda kwa dingi yako. Kwahiyo kubadili mawazo ni jambo la kawaida sana...Basi utakuwa hujijui! Kiongozi umpendekeze 2009 ukivutiwa na utendaji wake 2019 umkatae kwa nguvu zote Kwa utendaji ule ule...???!!!
Wanaokutegemea nawahurumia! (kama wapo lakin)
Wakaishia kulia lia kama wamepwakwa pilipili za makalioni😅😅😅Hii point ilikuja kuwa kweli
Kweli kuongoza wabongo ni kama kuongoza maiti! Huwa hazijitambui wala hazina shukurani ni mzobe mzobe tuwatanzania ni wanafiq kupita maelezo, rais wa aina waliotaka mungu akamleta bt hao hao tena wanamponda na kumshukuru mungu kwa kumuondoa. HII NCHI NI NGUMU SANA MKUU.