Utampenyezea wapi Magufuli hadi aupate hata huo UGOMBEA tu? Angalia JK alivyohangaika hata kumpa wizara afanye kazi! Tatizo kubwa tulilonalo ni MFUMO wetu wa jinsi tunavyowapata VIONGOZI wetu. Nani ATAUFUMUA?Wakuu tuache kufikiria tawala za kijeshi.Mimi nadhani tupate raia mmoja tu mzalendo mwenye vision na uchungu wa kweli na maendeleo ya nchi hii.Hawa watu wapo isipokuwa bado hawajapewa nafasi au wanabaniwa au wanavurugwa na system isiyoitakia mema nchi.
Embu tuchukulie mfano tumpe urais Pombe Magufuli leo hii,hivi hatutaweza kusonga kweli?
nadhani iendeshwe kijeshi kwanza ili tuiipate habari yake
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.
Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Utampenyezea wapi Magufuli hadi aupate hata huo UGOMBEA tu? Angalia JK alivyohangaika hata kumpa wizara afanye kazi! Tatizo kubwa tulilonalo ni MFUMO wetu wa jinsi tunavyowapata VIONGOZI wetu. Nani ATAUFUMUA?
Sikonge,
Hao wako hoi baada ya kuvimbiwa vibaya! Hakuna tofauti kati ya UWT na Government hapa. Hao UWT wakiona issue unafikiri wanatakiwa kuiripoti wapi?Serikalini kwa JK or kwa MKPP or wapi? unafikir wanapenda kutwanga maji kwenye kinu? nao ni binadamu kama sisi, they got needs vile vile....so nao wanajoin the battle kuwakandamiza wanyonge na kutii kiu ya mabwana na yao pia!
Tena FYI, hivi vijamaa ukikutana navyo huku uswaz vinasumbua sana, vikinywa bia eti vinatoa EUROs au Pound.....! wapi na wapi?
The guy was my favorite. He did not live long! Blaise Compaore aliyemuua eti leo anaenda kumshawishi Kapten camara wa guinea aachie madaraka. Sijui itawezekanajeTusisahau kwamba ufisadi umeingia hadi JESHINI pia. Akina Mboma, Waitara,...ni matajiri kwelikweli. Labda tuwatafute akina Thomas Sankara mle.....
Tusisahau kwamba ufisadi umeingia hadi JESHINI pia. Akina Mboma, Waitara,...ni matajiri kwelikweli. Labda tuwatafute akina Thomas Sankara mle.....
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma.
Salim Ahmed Salim anafaa sana
......... Ila ubaya mmoja ni kuwa, wale wenye moyo na ari ya kuifanyia kazi nchi yao, ndiyo wanakuwa frustrated. Unakusanya habari nzuri kuliokoa taifa, ukiipeleka kwa boss unapigwa warning USIRUDIE kuipeleleza hiyo scandal maana ni ya Kigogo fulani.....
Zipo njia nyingi za kutoa taarifa za kuliokoa TAIFA letu hili. Ipo hii JF na baadhi ya watu humu ambao sio waoga, wapo WABUNGE wasiri na JASIRI sana.Inasikitisha. Kama wanalipwa bila kazi nayo inazidi kusikitisha. Ila inabidi wakae mkao wa kula na wao maana huwa wakifukuzwa kazi, kazi pekee ni kufungua biashara zake au kufungua Mpelelezi wa kujitegemea ambayo kwa Tz bado ngumu. Hiyo kazi huwa inaisha vibaya kama hukujiandaa mapema. Na kwa hali ilivyo, kama akija kichaa basi hao jama wote watapanguliwa na kuanza upya maana huwezi anza na watu ambao wameshanogewa na visenti vya CCM. Ila ubaya mmoja ni kuwa, wale wenye moyo na ari ya kuifanyia kazi nchi yao, ndiyo wanakuwa frustrated. Unakusanya habari nzuri kuliokoa taifa, ukiipeleka kwa boss unapigwa warning USIRUDIE kuipeleleza hiyo scandal maana ni ya Kigogo fulani.....