Mwambie rafiki yako aende kudesa kwe vyuo vikuu vifuatavyo, ili kufahamu qualification ya chuo kikuu: Melbourne (Australia), Tsinghua (China), Cambridge (UK), Ruprecht-Karls (German), Harvard (US), ETH Zurich (Switzerland), McGill (Canada), SUA (Tanzania). Akipata muundo na ikama ya watumishi hasa maprofesa ndipo rafiki yako awaite mamlaka husika wakague na kumpa kibali.