Tanzania ina nguvu kubwa ya jeshi kusini mwa Africa

Mbona kama kweli Malawi wamekwisha, je hizi data ni pamoja na weapons?

Hizi hazijumulishi vifaa, but a common sense ni kwamba proportion ya vifaa huendana na idadi ya jeshi. Pia you have to take note kuwa kuna vifaa vinatengenezewa huku pia
 
nguvu ya idadi ya wanajeshi ila kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kenya ndio wenye most morden army in east &central afrika

Sure, Kny and ug wamenunua modern equipment hapa east africa, lakini wanavitumia kwa migogoro ambayo wamekuwa nayo. kwa upande wa kny wanavita na wasomali, huko ug wana vita na konyi pamoja na kujihusisha na migogoro mingine ya majirani.
 
Idadi ya wanajeshi na uwezo wa kijeshi ni vitu viwili tofauti. Angalia SA ni yangapi chini ya TZ lakini Military capability yao ni kubwa hata mara 10 ya TZ. Je apart from idadi ya wanajeshi vp status ya utaalam na teknolojia ya kivita na vifaa vya Kijeshi kati ya Tanzania na Malawi?

Idadi ya wanajeshi haina maana sana. Kigezo muhimu ni ujuzi na vifaa vya kivita walivyonavyo wanajeshi hao.
Wanajeshi wa Tanzania wamezoea kuonea raia tu, na wanatumiwa na watawala kukandamiza haki za wananchi badala ya kutetea maslahi ya Taifa.
Wanajeshi wa Tanzania wanatumika kulinda uporaji wa raslimali za Tanzania kuzipeleka kwa wageni nje, kulinda viongozi mafisadi, kupiga virungu na mabomu ya machozi wananchi wanaodai haki zao kwa amani, n.k.
Kwa mtaji huu, jeshi la Tanzania litashindwa vibaya sana na Malawi kwa sababu ya laana iliyojikusanyia kwa vitendo vyake hivyo vyote.
 
Mi sidhani kama wingi wa watu ndio ushindi katika vita ;
1. Hao wanajeshi wa Bongo wanambinu za kutosha
2.Waweza kuta malawi wana vifaa adimu vya kijeshi halafu hao wanajeshi wakayeyuka tunaowaona ni wengi.
DRC inaonekana kuwa na jeshi kubwa lakini linasumbuliwa na kikundi cha M23 ambao wanakadiliwa kuwa 5000.
 
Duh tuna jeshi kubwa sana ambalo linatuongezea gharama zisizo na maana....

Kwa kuangalia jedwali hapo chini utagundua kuwa tuna jeshi kubwa sana ambalo halilingani na idadi ya watu tuliopo na pia ambalo limekaa tu bila kufanya kazi. Ni asilimia 25% tu ndio ambao wanafany kazi, 75% wapo wapo bila kazi yoyote na still kila mwaka wanaongezeka wengine wengi. Kuna umuhimu wa ku-restructure jeshi letu liwe la kisasa zaidi bila kuhitaji idadi kubwa ya watu ili ku-save na kuweka katika miradi ya maendeleo kuliko kutenga fungu kubwa (tena lisilochunguzwa) kwa ajili ya 75% ya wasio active.

NchiIdadi ya watu (2011) MilioniUkubwa wa jeshiIdadi ya watu/mwanajeshiStatus ya jeshi
Tanzania46.22108,40042625% Active
South Africa50.5955,750907100% active
Malawi15.386,8002,26278% Active
 
Kuna siku nilikuwa na jamaa ambao ni wanajeshi wa Tanzania na palikuwa na mabishano kuwa kenya wana ARMY lakini Tanzania tuna DEFENCE FORCE na jeshi letu lipo weak kulingana na kenya.
 
MABOMU yetu sio yamekwisha muda wake karibu mengi mbona yanalipukalipuka ovyo? nina wasiwasi na kama kweli tuna vinafaa vya kisasa na kujiita tuko juu zaidi ya wengine.
 
Nguvu inakuwa determined na idadi wa wanajeshi ama?

HAPANA, ILA NI MOJAWAPO YA VIGEZO. Ukiwa na wanajeshi tseme wawili na missile mbili tuziite kwa jina type A, nguvu yako inakuwa ni ndogo ukilinganisha na wanajeshi watano wenye missile mbili aina hiyo hiyo, so chances za hawa watano kushinda ni kubwa japo si lazima. Unaelewa lakini rafiki yangu? Kubali ili nijue kuwa umeelewa usije ukarudia tena kuuliza swali la namna hii ukahangaisha watu tena kukujibu!
 
MABOMU yetu sio yamekwisha muda wake karibu mengi mbona yanalipukalipuka ovyo? nina wasiwasi na kama kweli tuna vinafaa vya kisasa na kujiita tuko juu zaidi ya wengine.
tena wameuja wakati mwfaka sana hawa wamalawi tuna mabomu yanakaribia ku-expire....
 
Wamalawi wakijaribu watajuta tutateka Ziwa Nyasa lote na baadhi ya miji...zipo F-16-Air Fighter mpya pamoja na Tanks land type mpya zipo kwenye barrack zetu.
 
HAPANA, ILA NI MOJAWAPO YA VIGEZO. Ukiwa na wanajeshi wawili na bunduki missile mbili, nguvu yako inakuwa ni ndogo ukilinganisha na wanajeshi watano wenye missile mbili, so chances za hawa watano kushinda ni kubwa japo si lazima. Unaelewa rafiki yangu? Kubali ili nijue kuw umeelewa usije ukarudia tena kuuliza swali la namna hii ukahangaisha watu tena!

Bimkubwa wewe kweli ni kituko. Yaani kila uandikapo u.pupu wako lazima nicheke.

Hapo kwenye hayo maandishi mekundu yaliyokolea (bold red), vitu vikishakuwa viwili vinatambulishwa kwa uwingi na si umoja. Kwa hiyo ni missiles mbili na siyo missile mbili.

Umeelewa Bimkubwa? Halafu ushawahi kusikia kuhusu drones wewe?
 
Takwimu aieleweki haiwezekan libya ipo juu zaidi yetu wakati kwasasa sidhan kama ata ndege za vita wanazo
 
Idadi ya wanajeshi haina maana sana. Kigezo muhimu ni ujuzi na vifaa vya kivita walivyonavyo wanajeshi hao.
Wanajeshi wa Tanzania wamezoea kuonea raia tu, na wanatumiwa na watawala kukandamiza haki za wananchi badala ya kutetea maslahi ya Taifa.
Wanajeshi wa Tanzania wanatumika kulinda uporaji wa raslimali za Tanzania kuzipeleka kwa wageni nje, kulinda viongozi mafisadi, kupiga virungu na mabomu ya machozi wananchi wanaodai haki zao kwa amani, n.k.
Kwa mtaji huu, jeshi la Tanzania litashindwa vibaya sana na Malawi kwa sababu ya laana iliyojikusanyia kwa vitendo vyake hivyo vyote.

You must be stupid. Hii siyo mambo ya UCHADEMA na UCCM. Ukisema Malawi watawapiga vibaya wa tz, wewe unajiweka wapi? hapa hili ni jukwaa la great thinkers
 
Back
Top Bottom