Haya ndo maneno ya kweli dio kutuambia eti mama anapaa.Mi nkadhania kawa mwewe.
Ukraine wana vita, Somalia hali halisi inajulikana Tanzania je? Wewe huamini nini?Haya nayo huwa mnayaamini?
Kwamba sisi tuko na huzuni kuwazid hadi Ukraine wanaomwagiwa makombora kila siku? Hadi Somalia, Afghanistan?