Tanzania iko mbioni kujiingiza vita vya DRC

Tayari wanajeshi na makomandoo hodari wa Tanzania wapo mstari wa mbele kuelekea Goma kupambana dhidi ya udharimu wa M23.

Tanzania kama taifa huru na linalotambua uhuru waafrika na demokrasia yake, hatuwezi kuacha serikali halali kundolewa kwa mtutu wa bunduki na wahuni tu.

Isitoshe Kongo ni eneo mhimu la Tanzania kiuchumi, kiulnzi na kivinasaba!

Serikala zote zilizokuwepo baada ya Mobutu ni serikali zilizoitika Dar es Salaam!

Kabila mkubwa na Kabila huyu wanamakazi ya kudumu Dar es Salaam, familia zao zipo Dar, Vitega uchumi vyao vipo Dar,

Kwa njia yoyote ni lazima tuilinde serikali halali na ya kidemokrasia iliyochaguliwa na Wakongomani wengi,

Kituo kikuu cha Uranium ya Kongo ni Tz, ndipo Iran na Urusi huchukulia!

Hili USA linawakera sana na sasa wanapandikiza waasi kumuondoa Kabila.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Kongo, Mungu ibariki Afrika
 
Akhsante sana mkuu,sasa ndiyo napata picha jinsi haya mambo yalivyo.
 
Kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia Benard Membe imesema iko tayari wakati wowote kujiingiza katika vita vya DRC kwa lengo la kumsaidia Joseph Kabila dhidi ya waasi wa M23, chini ya mpango wowote(UN, SADC, AU au LIWALO NA LIWE)

Source:BBC

Kwa mara ya kwanza Tanzania kupitia WIZARA YA MABO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA imesema iko tayari wakati wowote kujiingiza katika vita vya DRC kwa lengo la kumsaidia Joseph Kabila dhidi ya waasi wa M23, chini ya mpango wowote(UN, SADC, AU au LIWALO NA LIWE)
 
Tayari wanajeshi na makomandoo hodari wa Tanzania wapo mstari wa mbele kuelekea Goma kupambana dhidi ya udharimu wa M23.

Tanzania kama taifa huru na linalotambua uhuru waafrika na demokrasia yake, hatuwezi kuacha serikali halali kundolewa kwa mtutu wa bunduki na wahuni tu.

Isitoshe Kongo ni eneo mhimu la Tanzania kiuchumi, kiulnzi na kivinasaba!

Serikala zote zilizokuwepo baada ya Mobutu ni serikali zilizoitika Dar es Salaam!

Kabila mkubwa na Kabila huyu wanamakazi ya kudumu Dar es Salaam, familia zao zipo Dar, Vitega uchumi vyao vipo Dar,

Kwa njia yoyote ni lazima tuilinde serikali halali na ya kidemokrasia iliyochaguliwa na Wakongomani wengi,

Kituo kikuu cha Uranium ya Kongo ni Tz, ndipo Iran na Urusi huchukulia!

Hili USA linawakera sana na sasa wanapandikiza waasi kumuondoa Kabila.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Kongo, Mungu ibariki Afrika
Wewe itakuwa ni mfanyakazi wa ubalozi wa USA lakini hoja zako hazikukaa vizuri.
Ikiwa ni vitega uchumi vya Kabila nchini haitakuwa ni vikubwa kuliko vile vya Ghadafi kwenye nchi kadhaa za kiafrika.Sasa mbona waliachia apigwe na mataifa ya nje kupitia ufadhili wa waasi nchini mwake.
Halafu hiyo USA wengi wetu tunajua ndio wafadhili wenyewe wa vita kwa kuwapa msaada wote wanaopigana huko,wala haina uadui na Kabila na wala si rafiki wa Tanzania.
 
kama Membe ni fundi kuongea basi awe tayari kuvaa Combat kwenda mstari wa mbele kwa mapigano
 
Kama vpi wawapige tu hao waasi wa M23. maana kikinuka hao wakimbizi hawaendi kokote zaidi ya kujaa TANZANIA.
 
Membe Hujui unaongea nini!!!!

Acha kufanya kazi za Wamarekani {ukiranja wa Dunia}

Umeona nini kinachotokea Kenya kwa kujifanya kiranja kwa Somalia? Mna nini mpaka muwe na kiburi hivyo? ikiwa hata umeme yenyewe mmeshindwa kuwapa wananchi wenu hadi sasa matawezaje kumpiga M23?

Membe amka ujue kama hii ni moja ya mbio za Urais 2015 umepotea njia hatutarajii kuongozwa na mtu kama wewe una mdoma kama mwanamke wa kirangi.....
 
War has not been a solution. Cause puss and dog they get together
What's wrong with you my brother (Bob Marley R.I.P)
 
Tanzania ikipeleka jeshi Kongo bi Joyce Banda karibu Tanzania waislamu tutakupa msaada kuchukua ziwa lote la Nyasa na hata ukitaka kuchukua kipande cha nchi kavu mpaka Mtwara.

Hatuoni sababu ya kuunga mkono jeshi letu kwenda Kongo huku serikali hiyo hiyo imepuuza madai yetu yote na hata masheikh kadhaa bado wako ndani ambapo msingi wa tuhuma dhidi yao ni madai ya waislamu.

Kwa upande mwengine jeshi litakalokwenda huko tutamuomba Mungu awapatie kipigo baada ya kipigo ikiwa si kutoka M23 basi janga baada ya janga kama vile Ebola au kipindupindu.

Tunajua kuwa hii ni kazi ya kutumwa kama ilivyokuwa kwa Uganda,Burundi na Kenya huko Somalia.Nchi hizo pamoja na kufanya kazi zilizotumwa lakini zinaambulia matusi na kejeli tu.Kwa akili zetu za kiafarika bado ziko mbioni kuitikia utumwa mwengine.

Kufanikiwa kwa jeshi huko DR of Congo tunajua itakuwa ni madhila mengine makubwa kwetu waislamu baada ya makampuni ya kiyahudi kudhibiti uchumi wote wa Kongo kwa msaada wa Tanzania.

Faida za kiuchumi kama matumizi ya bandari kupeleka mizigo huko wala si faida kitu kulinganisha na utu na imani zetu.Tumepata uzoefu wa hasara ambazo wenzetu wa Pakistan wamezipata kwa kusaidia kupitisha mizigo kupeleka Afghanistan.
Acha upumbavu wako mjinga wewe sema mimi siyo sisi waislamu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
What kind of god is going to grant this foolish wish??? Vampire, blood sucker, THE DEVIL!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duu..unavuta bangi aina gani ww???
 
Mbona hawakuingiza jeshi Libya kupambana na waasi waliomuua Gaddafi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

attachment.php

????????????????????????????????????????
 
Attachments

  • map.JPG
    map.JPG
    55.5 KB · Views: 105

hapo sio africa??

Angalia maslahi kaka. Maswali ya kwa nini Congo na si Libya, Misri n.k. hayafai. Angalia maslahi mapana. Ama hujui watu wa Ngara na Bukoba walivyosota kufuatia machafuko ya Rwanda na Burundi? Nchi je? Hebu tazama maslahi mapana. Umeona kinachoendelea leo huko DRC? Yale makumi ya maelfu ya raia wakimbilie wapi? Libya? Misri? Vipi kuhusu "Mkasai" - mkongomani maarufu kwa biashara ya dagaa wa Kigoma aliyekuwa anafunga soko kwa kununua dagaa wote na kupeleka DRC - ataendelea kufanyabiashara hiyo? Vipi mizigo yaliyokuwa yanapita kwenye bandari yetu, Vipi wanamziki wa ndombolo watakuwa wapi? Kina Ray wa Bongo movie watapokelewa tena kishujaa huko?

Think outside the box!
 
Membe anatafuta umaarufu wa kijinga na sijajua gharama ya hivyo vita inamuangukia nani
 
naunga mkono hoja, naamini vita ni kitu kibaya sana, hebu fikria kwa harakaharaka, watoto, wazee,viwete, waleemavu, na akina mama wajawazito, unaweza kuniambia wako kwenye hali gani? Tusiwe na mawazo mgando,. Kila la kheri tanzania. Mungu ibariki tanzania, mungu ibariki africa.
 
Angalia maslahi kaka. Maswali ya kwa nini Congo na si Libya, Misri n.k. hayafai. Angalia maslahi mapana. Ama hujui watu wa Ngara na Bukoba walivyosota kufuatia machafuko ya Rwanda na Burundi? Nchi je? Hebu tazama maslahi mapana. Umeona kinachoendelea leo huko DRC? Yale makumi ya maelfu ya raia wakimbilie wapi? Libya? Misri? Vipi kuhusu "Mkasai" - mkongomani maarufu kwa biashara ya dagaa wa Kigoma aliyekuwa anafunga soko kwa kununua dagaa wote na kupeleka DRC - ataendelea kufanyabiashara hiyo? Vipi mizigo yaliyokuwa yanapita kwenye bandari yetu, Vipi wanamziki wa ndombolo watakuwa wapi? Kina Ray wa Bongo movie watapokelewa tena kishujaa huko?

Think outside the box!
Hizo zote si faida ni hasara.Tunataka wakongo waishi kwa raha na kuchimba madini yao kwa raha na wauze wanapopenda siio kufanywa wakimbizi kila siku.
M23 ni tawi la kufanya kazi za mayahudi kama Alqaeda.Silaha wamepewa halafu watanyang'anywa na wanajeshi wa Tanzania na Uganda.Mchezo wa kuwaingiza wachimba madini utakuwa umekwisha.
Inasikitisha sana waafrika na binadamu wenzetu tunavyoendeshwa mchakamchaka na shetani.
 
Back
Top Bottom