Joel Johansen
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 242
- 319
Hivi majuzi kuna mwandishi huko Ulaya alipotosha dunia kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya, TANAPA walipo mfuata akadai waende kwenye Media aliyoitumia kutolea habari hiyo ili wakanushe na sio kumfuata kienyeji.
Nilisoma uzi ule kwa uchungu mkuu (nadhani ilikuwa ni HuffPost News). Wengi walidai kuwa Tanzania ina viongozi ambao hawajali soko la Utalii.
Mchangiaji mmoja akasema, I quote "Kenyans, Tanzania don't care if you are dragged into our business or not, sisi kwetu #HapaKaziTu).
Mwingine ambaye ndio chanzo cha mimi kufungua uzi huu ni aliyedokeza kwamba kama tukifunga mpaka wa Namanga na ule wa Taveta-holili watalii wasiingie, hakika wakenya, watalii na wengi waliolishwa maneno kuwa Kilimanjaro ipo Kenya wataisoma namba na kujua kuwa kumbe kweli #Kili ni Tanzania na Tanzania ni #kili.
Yani kwa jinsi walivyo na roho za kutu hao wakenya huwezi kushirikiana nao hata kidogoKufunga mipaka sio ufumbuzi kwa sababu wananchi wa pande zote mbili wataumia kiuchumi, ishu hapo ni sisi kushirikiana na majirani zetu kuutangaza utalii wa mlima kilimanjaro
He hee hee maajabu sana. Wamechoshwa na ngumi za wanawake wa kenya. wakenya wanakwenda kupumulia Tanzania kuliko na wapole wenye kubembeleza mmeUle mpaka wa Taveta hauwezi kufungwa, kuna bidhaa ya muhimu kule inahitajika kutoka Kenya (wanaume).
hahaa ttb wapuuzi tu hawajiwezi..huo mpaka mtamu sana kama unajielewa, tunapiga zaidi ya milioni tatu kila wikime naona bora tuuhamishie dodoma mlima wetu kilimanjaro mana kuna sehemu ukiwa kenya unauona vizuri sana mpaka raha.
Wewe dada umenicha hoi.Ule mpaka wa Taveta hauwezi kufungwa, kuna bidhaa ya muhimu kule inahitajika kutoka Kenya (wanaume).
Nafikiri Marketing na Sales person wetu awajaiva vyakutoshaPale kuna biashara nyingi zinaendelea zaid ya mlima kilimanjaro. Na hata tukifunga yawezekana Tz tukapoteza zaid....cz hao watalii hawaji tu kuutembelea mlima kilimanjaro.....kumbuka kenya nao wanavivutio na wanajua kujitangaza kuliko sisi. Kwahyo tukifunga yawezekana watalii wanaokuja kenya wakaishia kenya hapo then wakageuza. Tatizo lipo kwetu, kwanini mkenya akisema mt kilimanjaro ipo kenya anaaminika kuliko sisi? Kwahyo. Afu kumbuka mt kilimanjaro iko karibu na Nairobi kuliko dar.