RICHEST
Member
- Jun 23, 2011
- 25
- 16
Maharamia wa kisomali wamesababisha gharama za maisha Tanzania kupanda sana sababu gharama za kusafirisha mizigo kwa meli kuja bandari ya Dar es salaam zimepanda sababu ya wenye meli kuongeza gharama za bima na ulinzi wa meli zijazo za mafuta na mizigo zijazo bandari ya Dar es salaam gharama ambazo mwisho zinamwangukia mwananchi wa kawaida anayenunua hizo bidhaa.
Pia wametuongezea gharama za ulinzi wa pwani yetu hivyo kusababisha wananchi tuongezewe kodi kwa gharama za kupatrol miharamia hiyo baharini.Hivyo wamesababisha maisha ya mtanzania kuwa magumu.
Kutokana na tishio la hawa maharamia kwenye bahari ya hindi upande wa afrika mashariki kuna uwezekano wa kukimbiwa na wenye meli kuamua kushusha mizigo yao bandari za afrika ya kusini ambalo ni eneo salama na kusababisha bandari yetu ife kifo cha mende na mizigo iwe inaletwa kwa barabara kitu kitakachosabisha maisha ya mtanzania yawe magumu mno kwa vitu kuwa juu mno.Hii pia inatishia uwekezejaji maeneo ya usafiri wa meli eneo hili letu.
Nashauri Tanzania ikavamie kijeshi somalia na kuikalia kama ambavyo wamarekani wanavyofanya wakiona kuna kiinchi kinasababisha maisha ya wamarekani kuwa magumu wanaenda kukivamia kukikalia na kuweka serikali itakayoshika adabu.
Ni ajabu warundi na waganda wametoa wanajeshi sisi tuko tunatazama tu itakula kwetu kama tusipoishughulikia somalia.Maharamia wanatumia silaha kututesa .Twende na sisi na makombora tukawavurumishia na kuikalia somalia walau kwa miaka 10 maruhuni wale.Tuache siasa.Tusijikome African Union wala UN.Sisi ndio tunaumia na African Union na UN hawana cha kutufidia kwa maumivu yetu.Hakuna haja ya kuwa-consult.