Tanzania iivamie somalia haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania iivamie somalia haraka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RICHEST, Jul 21, 2011.

 1. RICHEST

  RICHEST Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maharamia wa kisomali wamesababisha gharama za maisha Tanzania kupanda sana sababu gharama za kusafirisha mizigo kwa meli kuja bandari ya Dar es salaam zimepanda sababu ya wenye meli kuongeza gharama za bima na ulinzi wa meli zijazo za mafuta na mizigo zijazo bandari ya Dar es salaam gharama ambazo mwisho zinamwangukia mwananchi wa kawaida anayenunua hizo bidhaa.

  Pia wametuongezea gharama za ulinzi wa pwani yetu hivyo kusababisha wananchi tuongezewe kodi kwa gharama za kupatrol miharamia hiyo baharini.Hivyo wamesababisha maisha ya mtanzania kuwa magumu.

  Kutokana na tishio la hawa maharamia kwenye bahari ya hindi upande wa afrika mashariki kuna uwezekano wa kukimbiwa na wenye meli kuamua kushusha mizigo yao bandari za afrika ya kusini ambalo ni eneo salama na kusababisha bandari yetu ife kifo cha mende na mizigo iwe inaletwa kwa barabara kitu kitakachosabisha maisha ya mtanzania yawe magumu mno kwa vitu kuwa juu mno.Hii pia inatishia uwekezejaji maeneo ya usafiri wa meli eneo hili letu.

  Nashauri Tanzania ikavamie kijeshi somalia na kuikalia kama ambavyo wamarekani wanavyofanya wakiona kuna kiinchi kinasababisha maisha ya wamarekani kuwa magumu wanaenda kukivamia kukikalia na kuweka serikali itakayoshika adabu.

  Ni ajabu warundi na waganda wametoa wanajeshi sisi tuko tunatazama tu itakula kwetu kama tusipoishughulikia somalia.Maharamia wanatumia silaha kututesa .Twende na sisi na makombora tukawavurumishia na kuikalia somalia walau kwa miaka 10 maruhuni wale.Tuache siasa.Tusijikome African Union wala UN.Sisi ndio tunaumia na African Union na UN hawana cha kutufidia kwa maumivu yetu.Hakuna haja ya kuwa-consult.
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Towa humu pereka panapohusika
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tuko gizani aisee! Jamaa wamekata umeme wao sasa hivi
   
 4. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa Nchi haijatenga fungu la kwenda kuvamia Somalia, isipokuwa ina budget ya kutosha ya kwenda kupiga wavamizi wa Nyamongo Barrick Mine na migodi mingine kwani huko ndiko zinapopatikana fedha kwa wingi, huko baharini acha tu Wasomali waendelee na kazi yao kwani wanajitafutia riziki. Lakini pia napenda kukutoa wasiwasi Mheshimiwa Mwana JF kwamba ikiwa Serikali itaishiwa fedha za kuendeshea nchi basi itafanya utaratibu wa kwenda kuwapiga MACHINGA ili wakimbie waache mizigo yao kisha serikali itaifishe, kwa kufanya hivyo serikali itakuwa imejikusanyia kiasi cha Tsh. 1.7 trilioni kama Stimulas package kwa mwaka wa fedha 2012/2012. na serikali inategemea kwenda kupiga palipona machinga wengi kama vile Arusha, Mwanza lakini pale Daressalaamu ikiwa MACHINGA watahamia Machinga complex basi kipigo kitapungua na mapato yatapungua pia. Nashukuru.
   
 5. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mie huwanatamani sana kuziwinda na kuzi-destroy Motherships.
  Then kuwakamata maharamia na kuwapeleka kwenye jela za Misri wakabanwe hadi waseme hela huwa wanazipeleka wapi.
  Then nawafuata ma-beneficiaries na kuwafilisi.
  I bet the amount of money tukiwafilisi maharamia can fund Stieglers Gorge power generation......
   
 6. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 868
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  ..wewe unaona kuna serikali ya kufanya hivyo hapa? waombe kibali cha maandamano kupinga mashambulizi ya NATO kwa gadafi watakupa hata ukiomba kuandamana kila siku!
   
 7. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  SPIKA MAKINDA>Waheshimiwa wabunge wanaosema
  Ndioo...>Wabunge......Ndiyooooooooooooooooooooo..............o phwa phwa phwa phwa phwa
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Somalia ni kama Afghanistan... why should TZ waste our human power and unrealiable Arms to go to Somalia? those Somalis also attach rich nations properties such nations as US, Russia, China, UK, France...

  We should ask them to do so not us... they R the reasons for that Unruly Country Called Somalia
   
Loading...