Mitaala.
Mitaala iundwe kuiingiza elimu ya afya ya uzazi mapema kabisa na iwe inaendana na hali halisi.
Wazazi tujitahidi kuongea na binti zetu. Tuache mtindo wa kujifanya tunaona aibu. Social media zimejaa upuuzi na kusurf imekua rahisi kuliko miaka yetu ya nyuma.