Tanzania ianzishe vyuo vya wanawake tu ili kupunguza mimba kwa wanafunzi

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
623
Watoto sasa wanamaliza kidato cha 4 na kidato cha 5 wakiwa na umri mdogo ni vyema serikali ikaanzisha vyuo vya wanawake hapa nchini.

Hii itapunguza mimba za utotoni kuna wakati vyuo mimba zina zidi dah
 
Mitaala.

Mitaala iundwe kuiingiza elimu ya afya ya uzazi mapema kabisa na iwe inaendana na hali halisi.

Wazazi tujitahidi kuongea na binti zetu. Tuache mtindo wa kujifanya tunaona aibu. Social media zimejaa upuuzi na kusurf imekua rahisi kuliko miaka yetu ya nyuma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom