Tanzania hatuna Waandishi wa Habari professional

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,274
21,441
Baada ya kusikiliza hoja za mbunge ndo ni lielewa kwanini alifanya hicho alichofanya kwa kweli nili muunga mkono, ila Waandishi wa Habari wetu walionyesha tu tukio bila kulijengea msingi wake au background ya tukio kama hilo.

Mambo kama hayo yana tokea kwenye ma bunge mengi kusindikize serikali ifanye jambo fulani, Ulaya paka wa bunge wanavua nguo, wengine kukaa chini kama serikali imekaidi kufanya jambo fulani kwa wa wana nchi wao.

Ntawashangaa sana kama mtabaki kumuita Mbunge huyu kichaa na kutuonyesha picha za sarakasi badala ya kufuatilia na kutujuza kilichomfanya achukue uamuzi huo.

Screenshot_20220524-130608_Facebook.jpg
 
Kwahiyo kinachofanyika Ulaya ndio kina kua na uhalali wa kufanyika na sehemu zingine?
Kila jamii ina taratibu zake na ustaarabu wake,
Unasifia wabunge wa Ulaya kuvua nguo?
 
Kwahiyo kinachofanyika Ulaya ndio kina kua na uhalali wa kufanyika na sehemu zingine?
Kila jamii ina taratibu zake na ustaarabu wake,
Unasifia wabunge wa Ulaya kuvua nguo?
Tunafuata parliamentary democracy kutoka ulaya naona kama ni best reference kwetu kama Tz labda tu si wafuate na hu mfumo wao wa Parliament
 
Back
Top Bottom