Tanzania ilikuwa na viongozi Makini tangu Uhuru hadi 2015.Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea...
waliomkosoa mwalimu miaka hiyo walikipata cha mtema kuni, wengine walikimbia nchi.Kama unabisha kiongozi gani wa Tanzania alieacha legacy ya kuwapa watu wake wa karibu, marafiki anao waamini wamkosoe kwa uwazi kwa jambo lolote, pasipo yeye kujisikia vibaya?
waliomkosoa mwalimu miaka hiyo walikipata cha mtema kuni, wengine walikimbia nchi.
ni katabia ketu tumejiwekea kwamba Rais wa nchi mi mtukufu hata kama suti imechanika ukimsema tu unaloo...
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea...
Unajiandikia tu kama unaota ukiwa usingizini.Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea...
Kwanini babakoau mamako asigombee? au na wao huwaamini. Kagombea wewe. Kapuku kweli wewe.Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they trust in their inner circle, but they have given no freedom to their inner circle whom they trust to openly and sincerely criticize them when the go wrong.
Kiongozi asiewapa uhuru toshelevu watu wake anao waamini kumkosoa kwa dhati sio kiongozi bali ni nyapara fulani lenye hulka ya ufalme.
Kama unabisha kiongozi gani wa Tanzania alieacha legacy ya kuwapa watu wake wa karibu, marafiki anao waamini wamkosoe kwa uwazi kwa jambo lolote, pasipo yeye kujisikia vibaya?
Anaebisha karibuni.
Hicho nikipengele kimoja tu sijahitimisha, in fact hio ni provocative skewness kwenye fikra, kufahamu kuwa kuna other parameters za kiongozi na kuainisha mapungufu kwenye wazo langu ndio tija yenyewe ya lishe ya mawazo mtambuka , very good observations. πππKwa hiyo ili uwe kiongozi mzuri kwa mtazamo wako ni kuwa atoe uhuru usio na kifani wa wakosoaji wake. Swali la:
1. Unajuaje kama hawakuwa wakikosolewa na hiyo "inner circle".
2. Kwa tafsiri yako ya ukosoaji, vipi ikiwa uwezo wa wakososaji ni mdogo, kiongozi akikubali ukosoaji huo, ambao kimsingi mimi napenda kuuita ushauri, huoni ya kuwa kiongozi atapotea??
3. Je ubora wa kiongozi hupimwa na utayari au kuafiki wa kukosolewa?
Mjumbe hauwawi!Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they trust in their inner circle, but they have given no freedom to their inner circle whom they trust to openly and sincerely criticize them when the go wrong.
Kiongozi asiewapa uhuru toshelevu watu wake anao waamini kumkosoa kwa dhati sio kiongozi bali ni nyapara fulani lenye hulka ya ufalme.
Kama unabisha kiongozi gani wa Tanzania alieacha legacy ya kuwapa watu wake wa karibu, marafiki anao waamini wamkosoe kwa uwazi kwa jambo lolote, pasipo yeye kujisikia vibaya?
Anaebisha karibuni.
Safi sana.Mjumbe hauwawi!View attachment 2471422