Reginald12
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 264
- 145
hoja aliyoitoa S.Sita ni dhaifu kusema kwamba Tanzania ni kubwa hivyo haiwezi kuolewa,mbona mwanamke anaweza kuwa na umbo kubwa kumpita mwanaume lakini anaolewa!!!Bungeni leo kwenye kipindi cha maswali na majibu akijubu swali la Mbunge John Komba kuhusu EAC Waziri wa wizara ya Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema hakubaliani na kauli ya kusema Tanzania inasubiri talaka kutoka Nchi za Afrika mashariki zinazoonekana kuizunguka EAC. Waziri Samwel Sitta amesema Tanzania inaeneo la 52% katika eac na nchi zinazobaki zina 48% hivyo akasema katika EAC Tanzania ni muoaji kama litatokea jambo baya Tanzania ndio itatoa Talaka.
Whether Tanzania is isolated on some of these issues i wouldn't mind for it doesn't click in my mind how Tanzania is supposed to be incorporated in a railway project to ease transportation from the port of Mombasa; on other issues maybe but on this one that's just wishful thinking.
On single visa issue we all know Tanzania does not advocate for it so what happens when the other countries feel their citizens should integrate and trade more?
Wana jf najiuliza iwapo vikao vya Afrika mashariki vinaendelea Huku Tanzania haijaarikwa.je umhimu wa kuwepo wizara ya afrika mashariki inayoongozwa na sitta uko wapi.namshauri ajiuzuru.kwani wizara yake haina kazi tena imetengwa.
we jamaa sijui watutsi walishakukosea nini?? katika michango yako yote hapa jf ya kuhusu EAC kazi yako kubwa ni kuwaponda watutsi tu na kuonesha chuki yako dhidi yao, acha ubaguzi usiokua na maana watu wote ni sawa in africa! kwani hujui mtutsi nyerere ndo alitupatia uhuru wa tanganyika!?
Whether Tanzania is isolated on some of these issues i wouldn't mind for it doesn't click in my mind how Tanzania is supposed to be incorporated in a railway project to ease transportation from the port of Mombasa; on other issues maybe but on this one that's just wishful thinking.
On single visa issue we all know Tanzania does not advocate for it so what happens when the other countries feel their citizens should integrate and trade more?
Ni aibu kwa kutojua halafu hujui kuwa hujui ndiyo sifa kubwa uliyonayo.Wana jf najiuliza iwapo vikao vya Afrika mashariki vinaendelea Huku Tanzania haijaarikwa.je umhimu wa kuwepo wizara ya afrika mashariki inayoongozwa na sitta uko wapi.namshauri ajiuzuru.kwani wizara yake haina kazi tena imetengwa.