Tanzania Election 2010 Results as per NEC



acheni kulalamika, tena nilikuwa nna hamu nione comment zenu, ebo.....?<%%%$####>
 
hata mm nilishashtukia Zenj walianza hivyo hivyo, walipo shinda CCM ndio wanaanza kutangaza, ili kuandaa watu kisaikolojia, halafu yale walioshinda wapinzani wanahesabu baadae ili waeze kuchakachua, kwani watajua kiasi gani kimebaki kwa Rais kushinda, wezi wakubwa hawa
 
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM.
MTOTO YAKE NEPI JAMANI, JEANS ITAMCHUBUA.
HAYA PUMZIKENI SASA.
 
Habari za uhakika zinadokeza kuwa Tume ya Uchaguzi Imeahirisha zoezi la kutangaza matokeo ambalo lilikuwa liendelee saa mbili usiku huu hadi kesho: A short email imetumwa...
 
Wanasema ni kwa sababu gani?

Kama si saa mbili usiku - kwanini isiwe saa nne au saa 6 au saa nane usiku?

Basi tena. Wabunge wa Dar wakomae tu matokeo wayajue kule kule vituoni. Kwa URAIS ndo imetoka
 
Duh, kwa mwendo huu 'okampo' anaweza akapata kazi nyingine 'pande hii'!
 
hakuna cha kufanya zaidi ya kusubiri, lakini wanacheza na maisha ya watu hawa nec
 
wanataka warudie yale yale ya mwaka 1995 kwa kura za CUF Zanzibar.

CCM wanajua kuwa wamepoteza uraisi na sasa wanafanya kila wanachoweza kubadili matokeo
 
Yaani inafika mahali unafikiria kuua ua tu. WAPI hired snipers!?
 
Sababu ni rahisi, kuliko kutangaza majimbo mawili, matatu vyema kutoa muda matokeo yaje mengi ... ili hatimaye wakija watangaze mengi kwa wakati mmoja... use comon sense.
 
Haya ndo yataleta fujo bongo. Just unnecessary delays!
 
Sababu ni rahisi, kuliko kutangaza majimbo mawili, matatu vyema kutoa muda matokeo yaje mengi ... ili hatimaye wakija watangaze mengi kwa wakati mmoja... use comon sense.

ha ha ha, mbona wasitangaze yale ambayo wanajua tayari - musoma etc?
 
Tanzania yangu nakulilia ila kama raha inakwisha basi hata shida itakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…