Tanzania yaashika namba 2 kwa uzalishaji wa zao la tumbaku Afrika, yajipanga kushika namba moja

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania imepanda Hadi nafasi ya 2 kama mzalishaji mkubwa wa Zao la Tumbaku Afrika ikitanguliwa na Zimbabwe.

Hata hivyo Waziri Bashe amesema huenda Tanzania ikaongoza Kwa msimu wa 2023/2024 ikiwa inalenga Kuzalisha tani 300,000 za Tumbaku Kwa mwaka.

Kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo inaweka mikakati ya kuifanya Tanzania kuongoza Africa na Duniani kwenye zao la Tumbaku.

============

Tanzania is listed as the second-largest producer of tobacco in Africa for the year 2022/2023, Minister for Agriculture Hussein Bashe has said.

Mr Bashe made the statement on his X account (formerly Twitter), adding that the country’s production of the crop has increased from 50,000 tonnes to 122,858 tonnes in 2023/2024.

Furthermore, he said that as of December last year, the export value of tobacco was $316 million, towards the goal of reaching $400 million.

Mr Bashe noted that for the 2024/2025 season, they are optimistic about reaching 200,000 tonnes against the target of 300,000 by 2025/26.

He applauded the farmer associations as well as the tobacco companies in the country, stating that for the first time, more than 50 percent of tobacco has been bought and sold abroad, 100 percent by local companies.

“It was not an easy journey. I thank all the tobacco board staff; we dreamed, we did it, and we keep pushing. We will become Africa’s number one producer,” the minister said.

Largest tobacco producers in Africa:

🇿🇼Zimbabwe 296,000 tonnes,
🇹🇿 Tanzania 122, 858 tonnes
🇲🇼 Malawi 121,000 tonnes
🇲🇿 Mozambique 65,800 tonnes
🇿🇲 Zambia 44,000 tonnes
🇺🇬 Uganda 13, 000 tonnes

Source: The Citizen

==========

My Take: Hongera sana wadau wa tumbaku mkiongozwa na Wakulima.

Tanzania itaneemeka Kwa kuwekeza kwenye Kilimo maana huko tuna competitive advantage kubwa ya Ardhi na Haki ya hewa nzuri.

Msukumo wa kisera na utashi wa Kisiasa wa awamu ya 6 Chini ya Samia unajifanya kilimo.kuwa biashara na mkombozi Kwa Vijana na wanawake.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1746078802319380864?t=rPSl1qOePCTtKs-kpAMTcQ&s=19
 
Back
Top Bottom