Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,472
- 16,177
zacha mtu asikudanganye hata kidogo kila kitu unachofanya kwenye simu wanafahamu na inakuwa mbaya zaidi kwa wanaotumia smart phones kabisa na hapa naomba ufahamu hapa namaanisha kila kitu kinapita huko kwao na wanaona kila kitu kama wakitaka.
Najua mnaidharau sana Tanzania lakini ngoja nikwambie tuko vizuri sana sana. Kama kuna software fukani hivi sipendi kuitaja ukiwanayo unaweza kujua simu, sms, picha, na kila kitu kwenye simu ya mtu sasa ndio hao TCRA washindwe.
Unaonekana ni mtumishi wa hiyo taasisi lkn nakujakikishia. taasisi hy inaweza trace sms na voice call (partial). Haina uwezo wa tracing ya whatsapp msg kwa namna yyt kwa sasa labda baadae baada ya kufanikiwa kupata vidadavuzi vya technolojia husika.
Makamba pia alikiri wakati wa kusambaa kwa picha za wale waheshimiwa.
Last edited by a moderator: