Tulisema tunajenga na pesa za ndani
Tunakopa sababu uwezo tunao, huo uwezo unaozungumzia ni upi?Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
No, kuna kitu kinaitwa microeconomics na macroeconomics, kwenye micro, ni uchumi wa mtu mmoja mmoja, kwa nchi za wenzetu, vipato vyao vinaruhusu saving na hivyo kuweza kufanya investment bila kukopa, sisi watu wa nchi masikini vipato ni kiduchu sana, haviruhusu savings, hivyo ili uweze kuivest ni lazima ukope.Tunakopa sababu uwezo tunao, huo uwezo unaozungumzia ni upi?
Hakuna kitu kinaitwa uwezo wa kukopa au eti unakopa sababu uwezo wa kulipa upo, kukopa ni kukopa, hakuna uwezo wa kufanya mambo kwa pesa yako unaenda kukopa, mkopo maana yake wewe hujitoshelezi.
Ni juzi tu alisema tuachane na misaada na mikopo, hatuna sababu ya kukopa kwa sababu tu yupo mkopeshaji, huo ni ujinga.Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Nyie oteni mchana tu na kuimbishwa nyimbo za ccm,mliimbishwa nyimbo za gesi na umeme kutokatika tena but now mmeshasahau though hali bado ni ile ile,hata SGR tutasahahau.Watanzania zaidi ya 68%wanategemea kilimo,kama mkulima wa ngerengere anavuna gunia 2 za mahindi kwa eka,kupita SGR ngerengere hakutamfanya aanze kuvuna gunia 10 kwa eka,bali ataendelea na gunia mbili zile zile? So if you think SGR itabadirisha haya maisha I am so sorry for youBaada ya hii kitu kukamilika kutakua na mabadiliko mengi sana kiuchumi
Kwani watz milioni 50 wote ni wakulima wa ngerengereNyie oteni mchana tu na kuimbishwa nyimbo za ccm,mliimbishwa nyimbo za gesi na umeme kutokatika tena but now mmeshasahau though hali bado ni ile ile,hata SGR tutasahahau.Watanzania zaidi ya 68%wanategemea kilimo,kama mkulima wa ngerengere anavuna gunia 2 za mahindi kwa eka,kupita SGR ngerengere hakutamfanya aanze kuvuna gunia 10 kwa eka,bali ataendelea na gunia mbili zile zile? So if you think SGR itabadirisha haya maisha I am so sorry for you
Hata mimi nilishauriNi juzi tu alisema tuachane na misaada na mikopo, hatuna sababu ya kukopa kwa sababu tu yupo mkopeshaji, huo ni ujinga.
Hii taarifa ni ya kitambo sana! SGR phase 2; Morogoro to Makutopora ilianza tangu katikati ya mwaka 2018.
Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Hata tukikopa tutalipa huo mkopo kwa fedha za ndani piaUwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Hiyo comment yangu,sijui kama unaweza kuielewa wewe,am sorryKwani watz milioni 50 wote ni wakulima wa ngerengere
HujijuiNyie oteni mchana tu na kuimbishwa nyimbo za ccm,mliimbishwa nyimbo za gesi na umeme kutokatika tena but now mmeshasahau though hali bado ni ile ile,hata SGR tutasahahau.Watanzania zaidi ya 68%wanategemea kilimo,kama mkulima wa ngerengere anavuna gunia 2 za mahindi kwa eka,kupita SGR ngerengere hakutamfanya aanze kuvuna gunia 10 kwa eka,bali ataendelea na gunia mbili zile zile? So if you think SGR itabadirisha haya maisha I am so sorry for you
I agree,but nikuulize tu swali la kijinga probably, je Tanzania ni nchi ya kwanza Africa kujenga SGR? if not huko walipoanza kujenga SGR imebadilisha maisha ya wananchi wake au kukuza uchumi wa nchi zao kwa kiwango gani? au wao hawanaakili ndo maana hawajaona matunda ya SGR? Asilimia kubwa ya watanzania hali zao ni mbaya because they are not producing or their productivity is very so SGR ina maana gani kwao,labda tunamjengea Bharessa na wafanyabiashara wa Rwanda anakotoka mtu wetuHujijui
Ili uchumi ukue kwa mtu binafsi ni lazima 68% ya hao wakulima walime kwa tija kutosheleza nahitaji ya Ndani pamoja na export ili kupata fedha za kigeni. Yote hayo yatawezekana kwa kuwekeza nguvu kubwa ktk kilimo ambacho kila siku kinazidi kudidimia chiniHiyo comment yangu,sijui kama unaweza kuielewa wewe,am sorry