The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,582
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao wamekutana na kukubaliana kukamilisha SGR ya Mombasa kupokea shehena ya Uganda.

Shehena ikifanikiwa kufika Uganda, kupeleka mzigo huo Rwanda na Burundi, ni karibu Zaidi, kuliko Kutoka Isaka kupeleka Rwanda na Burundi!.

Hii ni vita kubwa ya kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya, mshindi wa vita hii ni yule ambaye atafanikiwa kuifikisha hiyo SGR mapema. Sisi SGR yetu ujenzi umeanza kwa kipande cha DAR-Moro tuu, na Kutoka Moro-Dodoma jiwe la msingi litawekwa mwezi February, 2018.

Mtihani kwa SGR yetu ni miwili, kwanza ni funding, so far hakuna any guarantee ya Fedha za kipande cha Dodoma hadi Isaka, kisha kipande cha Isaka hadi mpakani na Rwanda, lakini kwa wenzetu Kenya na Uganda, Exim Bank ya China, imekubali kutoa mkopo kugharimia kila kitu!.

Wachina hawa wa Exim Bank, ndio mwanzo walikubali kuigharimia, reli yote ya SGR ya Tanzania, ila tenda ilipotangazwa, Waturuki wakashinda, China wakajitoa, sasa wana fund SGR ya Kenya-Uganda. Hii maana yake SGR ya Kenya itatangulia kukamilika kabla ya SGR yetu, kwa Rwanda ni ka nchi kadogo, ili SGR ilete faida, ni kama SGR hiyo itakuwa na outlet. Target ya SGR kwa Uganda ni kupeleka mzigo Juba ambayo ndio the shortest route.

Mtihani wa pili ni changamoto ya mzigo wa kuishibisha SGR, mzigo wa Bandari ya Dar es Salaam pekee haiwezi kushibisha SGR ikajiendesha kwa faida, tunahitaji kujenga Bandari mpya na kisasa Bagamoyo, kisha tuboreshe Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara ndipo SGR itashiba.
Vita hii mimi naibatiza ni vita ya Magufugame vs Musevenyatta. The war is on imeishatangazwa, jee nani atatangulia kuitandika SGR yake across its borders?.
Kusitishwa kwa mradi wa Bandari ya Bagamoyo, what does this mean to mzigo wa kuishibisha SGR yetu?.

To be honest, we are putting the horse before the cart, naona kama tunajenga a white elephant project, hizo fedha bora zingeingizwa kwenye kilimo, angalau mahindi mabichi tutakula. I

Paskali
Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!
JamiiForums - Where we Dare to Talk Openly
Mapinduzi makubwa yaja kwenye reli nchini
Uganda seeks joint Exim Bank talks with Kenya on SGR funding

SGRPIC.jpg

President Uhuru Kenyatta (right) welcomes his Ugandan counterpart Yoweri Museveni at State House on December 19, 2017. The two Heads of State agreed to fast-track the remaining sections of the standard gauge railway (SGR) by synchronising the financing.. PHOTO | SAMUEL MIRING'U | PSCU

In Summary
  • Officials in Kampala are banking on Kenya agreeing to the proposal of joint negotiations so that the teams can travel to Beijing to conclude financing details.
  • In December, the two Heads of State agreed to fast-track the remaining sections by synchronising the financing.
By JULIUS BARIGABA
More by this Author
Ugandan and Kenyan authorities are pushing for joint negotiations for the funding of the standard gauge railway, The EastAfrican has learnt.

Kampala, whose application to China’s Export and Import (EXIM) Bank is highly dependent on the treatment of Kenya’s application for funding of the different sections of the railway, has now asked Kenya for a joint mission to Beijing to meet officials of the bank to expedite the financial closure for the two countries’ multibillion-dollar projects.

The projects relate to the remaining sections: Naivasha-Kisumu-Malaba on the Kenyan side and Uganda’s 273km long Malaba-Kampala line that will cost $2.3 billion.

Officials in Kampala are banking on Kenya agreeing to the proposal of joint negotiations so that the teams can travel to Beijing to conclude financing details.

“We hope to go this month,” said Uganda SGR project co-ordinator Kasingye Kyamugambi.

The EastAfrican has seen a letter to Uganda’s High Commissioner to Kenya, dated January 5, 2018, proposing that the High Commissioner requests Nairobi for a “joint Uganda-Kenya engagement of the Chinese authorities and Exim Bank on the Standard Gauge Railway.”

Related Content
The tone of the letter — signed by John L. Mugerwa on behalf of the Permanent Secretary of Uganda’s Ministry of Foreign Affairs — is in line with the meeting of presidents Yoweri Museveni and Uhuru Kenyatta on December 19, 2017 at State House, Nairobi, that proposed the Naivasha-Kisumu-Malaba and Malaba-Kampala legs of the SGR should be done concurrently.

During that meeting, the two heads of state also agreed to fast-track these sections by synchronising the financing and construction, and the two countries’ ministries of Transport followed this up by signing an agreement to this effect.

READ: Kenya and Uganda to collaborate on SGR

Construction of the $1.5 billion Nairobi-Naivasha leg is ongoing, leaving the sub phases of Naivasha-Kisumu and Kisumu-Malaba in Kenya and Malaba-Kampala on the Ugandan side for fast-tracking.

In the letter, also copied to Uganda’s ambassador to Beijing, Mr Mugerwa says Kampala wants to meet with the SGR financiers to “reiterate the commitment of both countries” as it is hoped that this visit would thrash out financing details and pave way for “timely implementation of the remaining sections and resolve any outstanding technical issues.”

READ: China Exim sets terms for financing Uganda’s SGR

ALSO READ: China plan raises hope for East African SGR project

Mr Mugerwa’s docket is to co-ordinate with ministries, departments and agencies to ensure timely implementation of the Northern Corridor Integration Projects (NCIP), which includes infrastructure like the SGR and energy interconnection.

By the time we went to press, the Kenyan High Commission had not responded to our questions on whether Nairobi had agreed to the proposed joint mission to Beijing.

However, in a previous interview, Kenya Railways managing director Atanas Maina said Kenya was yet to submit funding proposals for the Kisumu-Malaba section of its SGR as the government felt it needed to first finish the Naivasha-Kisumu phase.

Kampala is desperate to get the deal over the line so that construction of the Malaba-Kampala SGR phase can start, even as officials say that depending on other requirements that the Chinese might demand, the planned joint visit to Beijing may not guarantee financial closure.
 
Sasa mkuu pascal kama mkulu kajifungia magogoni akifwatilia kipindi cha shilawadu na kufwatilia uchaguzi wa siha wakati wenzake wameenda kwenye world economic forum huku wakitumia nafasi hizo kutafuta wawekezaji unatarajia nini??

Nnavyoona kenya na uganda wakifanikisha na kagame akiona mkulu analeta siasa kwenye sgr basi ataungana na akina kenyatta...
 
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubalia kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao wamekutana na kukubaliana kukamilisha SGR ya Mombasa kupokea shehena ya Uganda.

Shehena ikifanikiwa kufika Uganda, kupeleka mzigo huo Rwanda na Burundi, ni karibu Zaidi, kuliko Kutoka Isaka kupeleka Rwanda na Burundi!.

Hii ni vita kubwa ya kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya, mshindi wa vita hii ni yule ambaye atafanikiwa kuifikisha hiyo SGR mapema. Sisi SGR yetu ujenzi umeanza kwa kipande cha DAR-Moro tuu, na Kutoka Moro-Dodoma jiwe la msingi litawekwa mwezi February, 2018.

Mtihani kwa SGR yetu ni funding, so far hakuna any guarantee ya Fedha za kipande cha Dodoma hadi Isaka, kisha kipande cha Isaka hadi mpakani na Rwanda, lakini kwa wenzetu Kenya na Uganda, Exim Bank ya China, imekubali kutoa mkopo kugharimia kila kitu!.

Wachina hawa wa Exim Bank, ndio mwanzo walikubali kuigharimia, reli yote ya SGR ya Tanzania, ila tenda ilipotangazwa, Waturuki wakashinda, China wakajitoa, sasa wana fund SGR ya Kenya-Uganda. Hii maana yake SGR ya Kenya itatangulia kukamilika kabla ya SGR yetu, kwa Rwanda ni ka nchi kadogo, ili SGR ilete Rwanda, ni kama SGR hiyo itakuwa na outlet. Target ya SGR kwa Uganda ni kupeleka mzigo Juba ambayo ndio the shortest route.

What does this mean to SGR yetu?.
Paskali
Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!
https://www.jamiiforums.com/threads...do.561519/da-inakuja-kivingine.1378756/page-6

P.Kagame ndiye Raisi wa Afrika, either with Kagame or against Kagame, isitoshe Kagame na Museveni ni kama mtungi na kata!
 
Pascal tuombe radhi kutoka isaka hadi kigali ni Km ngapi? Zungumza unalojua
 
Na hapo ndipo mnapokosea kwa maoni yangu, ni kama vile mnageuza lengo la sisi kujenga Reli yetu kutumiwa na nchi nyingine, hilo siyo lengo kuu au niseme halipaswi kuwa lengo kuu, lengo kuu linapaswa kuwa kwa ajili ya matumizi yetu ya ndani na hizo nchi za nje iwe secondary tu.

Na ndiyo maana naisifu Serikali yetu kwa kutaka kuishirikisha Rwanda kwenye kuchangia gharama kama wanataka kuitumia Reli pia lkn hakuna nchi Dunia hii ambayo hujenga Reli eti ili itumiwe na nchi nyingine kwangu kama hauna mizigo ya ndani ya kusafirisha ni bora uache kujenga.

Na mizigo ya kuendesha Reli yetu ipo ni swala la sisi kujipanga tu, Migodi yetu yote inaweza kutumia Reli yetu kwa Exports na Imports hata tunaweza kumfikishia Dangote Makaa ya Mawe kwa Reli yetu, hivyo tukijipanga tunaweza kuiendesha Reli yetu wenyewe na hao wa nje ya mipaka yetu wanaweza kuja kama nyongeza tu ya mapato lkn siyo wawe ndiyo chanzo kikuu cha mapato yetu ya kuendesha Reli yetu au Bandari yetu kama ukiniuliza mimi!!
 
Nimeiona SGR ya Kenya imeshafika mbali sana na sio kuweka tuta kama ambavyo sisi tumeanza.Wao kwa Km zilizokamilika vyuma vimeshatandikwa kabisa na bado kazi inafanyika day and night ..

Safari yetu bado ni ndefu mno na kutokua na pesa ndio kabisa hatuwezi kuwahi hiyo deal.

Tatizo lingine naona umbali mkumbwa mno wa kutoka Dsm mpaka Isaka.Tofauti na kutoka SGR ya Kenya ilipofikia mpk Uganda.
Lkn pia kama Kenya itakubaliana na China kuifanya ya bandari ya Mombasa kua bandari huru au kuikodisha au vyovyote inavyozungumzwa basi litakua goli lingine tumepigwa.

Bahati mbaya kubwa iko katika mipango yetu.Kama mpango huu ungelianza kutekelezwa muda mrefu nina hakika tungekua tumeshinda mapema vita hii.
 
Back
Top Bottom