Tanzania close to securing funding for second phase of SGR project

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
1,990
2,000
1574285457949.png

Tanzania has announced that financial deals for the construction of the second phase of the standard gauge railway (SGR) are close to be finalised. The Minister for Finance and Planning, Dr Phillip Mpango, disclosed that discussions with a consortium of development finance institutions to finance construction of the railway line were at advanced stages.
Tanzania SGR

Tanzania is constructing a standard gauge railway that will link Rwanda, Burundi and DR Congo to the Dar es Salaam Port. The first phase of the railway line covering 202km from Dar es Salaam to Morogoro is in its final stages. Construction of the second phase of the standard gauge railway line is expected to start from Morogoro to Makutupora area in Dodoma Region.

“I am sure of getting the money. So far we are moving on well,” said Dr Mpango, who was leading a delegation from Tanzania at the forum organized by the African Development Bank to tilt the flow of investments to Africa.
Infrastructure development

Similarly, Trade and Development Bank, Africa Finance Corporation officers confirmed they were raising funds for infrastructure development in Tanzania. The President and Chief Executive Officer for Eastern and Southern African Trade and Development Bank, Admassu Tadesse, confirmed that they were pooling resources for Tanzania. Mr. Tadesse revealed that they had already approved US $500m syndicated loan for Tanzania.

The Bank’s mandate is to finance and foster trade, regional economic integration and sustainable development through trade finance, project and infrastructure finance, asset management and business advisory services. Tanzania was among the countries they were focusing on because of the strong macroeconomic performance it had registered in over a decade.

Source: Construction Review Online

Hapa kazi tu.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,862
2,000

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
1,608
2,000
Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Tunakopa sababu uwezo tunao, huo uwezo unaozungumzia ni upi?

Hakuna kitu kinaitwa uwezo wa kukopa au eti unakopa sababu uwezo wa kulipa upo, kukopa ni kukopa, hakuna uwezo wa kufanya mambo kwa pesa yako unaenda kukopa, mkopo maana yake wewe hujitoshelezi.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,862
2,000
Tunakopa sababu uwezo tunao, huo uwezo unaozungumzia ni upi?

Hakuna kitu kinaitwa uwezo wa kukopa au eti unakopa sababu uwezo wa kulipa upo, kukopa ni kukopa, hakuna uwezo wa kufanya mambo kwa pesa yako unaenda kukopa, mkopo maana yake wewe hujitoshelezi.
No, kuna kitu kinaitwa microeconomics na macroeconomics, kwenye micro, ni uchumi wa mtu mmoja mmoja, kwa nchi za wenzetu, vipato vyao vinaruhusu saving na hivyo kuweza kufanya investment bila kukopa, sisi watu wa nchi masikini vipato ni kiduchu sana, haviruhusu savings, hivyo ili uweze kuivest ni lazima ukope.

Kwenye macro ni uchumi wa kitaifa hata kama una hela vipi, lazima ukope, hata Marekani ambayo ndio nchi tajiri kuliko zote, inakopa!, serikali ya Obama ilikopa China ili kusisimua uchumi wake. Hata nchi tajiri na zina cash lakini bado wananunua ndege kwa hire purchase, hivyo Tanzania ambayo ni masikini wa kutupwa, watu wake wakiishi kwenye lindi la umasikini uliotopea kwa kuishi kwa kipato cha chini ya dola moja kwa siku, tumeushangaza ulimwengu kwa kununua ndege kwa cash!, halafu hapo hapo tunakwenda kukopa dola milioni 500 Credit Suisse kwa siri, kwa riba ya 80%, tutalipa dola milioni 900!, baada ya miaka 5!.

Hata serikali ya Tanzania, japo tunaelezwa miradi mikubwa kama kununua ndege, ujenzi wa SGR, Stigler na miundombinu mingine, tunajenga kwa kutumia fedha za ndani, wakati huo huo, bila kesema wala kuliambia Bunge letu, Tanzania tunaendelea kukopa fedha za kuendesha serikali kutoka mabenki ya nje na BOT, kwa BOT kuuza bonds, dhamana za serikali.

https://www.jamiiforums.com/threads...milioni-400-huu-ni-unyama-na-ufisadi.1322538/
Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na ...

Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

P
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,381
2,000
Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Ni juzi tu alisema tuachane na misaada na mikopo, hatuna sababu ya kukopa kwa sababu tu yupo mkopeshaji, huo ni ujinga.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,568
2,000
Baada ya hii kitu kukamilika kutakua na mabadiliko mengi sana kiuchumi
Nyie oteni mchana tu na kuimbishwa nyimbo za ccm,mliimbishwa nyimbo za gesi na umeme kutokatika tena but now mmeshasahau though hali bado ni ile ile,hata SGR tutasahahau.Watanzania zaidi ya 68%wanategemea kilimo,kama mkulima wa ngerengere anavuna gunia 2 za mahindi kwa eka,kupita SGR ngerengere hakutamfanya aanze kuvuna gunia 10 kwa eka,bali ataendelea na gunia mbili zile zile? So if you think SGR itabadirisha haya maisha I am so sorry for you
 
henrykilenga

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
294
500

Kwani watz milioni 50 wote ni wakulima wa ngerengere
 
BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,073
2,000
Hii taarifa ni ya kitambo sana! SGR phase 2; Morogoro to Makutopora ilianza tangu katikati ya mwaka 2018.
Halafu hii picha siyo SGR ya Tanzania. Mfano: Hizo fasteners (vibanio vya reli na taruma), SGR-Tanzania wanatumia aina ya VOSSLOH Fastening System ambavyo design yake ni tofauti na vinavyoonekana hapo juu.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,250
2,000
Uwe unafahamu kusoma Phase 1 inagharimiwa na Serikali ya Tanzania 100%. Ikiisha na hakuna wa kumkopa tutaendelea wenyewe, lakini kwa sababu wapo ambao wapo tayari kutukopa kwenye phase II basi tutakopa kwa sababu uwezo tunao.
Thubutu,
katafiti tena.
 
njinjo

JF-Expert Member
Feb 15, 2019
2,277

Hata tukikopa tutalipa huo mkopo kwa fedha za ndani pia
 
njinjo

JF-Expert Member
Feb 15, 2019
2,277
2,000
Nyie oteni mchana tu na kuimbishwa nyimbo za ccm,mliimbishwa nyimbo za gesi na umeme kutokatika tena but now mmeshasahau though hali bado ni ile ile,hata SGR tutasahahau.Watanzania zaidi ya 68%wanategemea kilimo,kama mkulima wa ngerengere anavuna gunia 2 za mahindi kwa eka,kupita SGR ngerengere hakutamfanya aanze kuvuna gunia 10 kwa eka,bali ataendelea na gunia mbili zile zile? So if you think SGR itabadirisha haya maisha I am so sorry for you
Hujijui
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,568
2,000
I agree,but nikuulize tu swali la kijinga probably, je Tanzania ni nchi ya kwanza Africa kujenga SGR? if not huko walipoanza kujenga SGR imebadilisha maisha ya wananchi wake au kukuza uchumi wa nchi zao kwa kiwango gani? au wao hawanaakili ndo maana hawajaona matunda ya SGR? Asilimia kubwa ya watanzania hali zao ni mbaya because they are not producing or their productivity is very so SGR ina maana gani kwao,labda tunamjengea Bharessa na wafanyabiashara wa Rwanda anakotoka mtu wetu
 
kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
3,914
2,000
Hiyo comment yangu,sijui kama unaweza kuielewa wewe,am sorry
Ili uchumi ukue kwa mtu binafsi ni lazima 68% ya hao wakulima walime kwa tija kutosheleza nahitaji ya Ndani pamoja na export ili kupata fedha za kigeni. Yote hayo yatawezekana kwa kuwekeza nguvu kubwa ktk kilimo ambacho kila siku kinazidi kudidimia chini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom