Tanzania benki zanawiri

Tanzania benki zanawiri

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
IMG-20250704-WA0045.jpg

Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.

Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.

Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
 
View attachment 3393487

Waoooo uongooooo
 
CHAWA wa mama
 
Mnieleweshe watalaam wa mambo ya fedha.
Huku mitaani mbona naona riba za mikopo kwenye mabenki kama Crdb, Stanbic, Nmb nk ni kuanzia 15% to 18%..

Labda mnieleweshe labda nimeelewa vibaya.

Nangu nyau: ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Kazi nzuri sana Rais wetu.
 
Mnieleweshe watalaam wa mambo ya fedha.
Huku mitaani mbona naona riba za mikopo kwenye mabenki kama Crdb, Stanbic, Nmb nk ni kuanzia 15% to 18%..

Labda mnieleweshe labda nimeelewa vibaya.

Nangu nyau: ndani ya viunga vya Tehrani.
Hii anazungumzia mikopo isiyolipika mkuu sio Riba
 
Mnieleweshe watalaam wa mambo ya fedha.
Huku mitaani mbona naona riba za mikopo kwenye mabenki kama Crdb, Stanbic, Nmb nk ni kuanzia 15% to 18%..

Labda mnieleweshe labda nimeelewa vibaya.

Nangu nyau: ndani ya viunga vya Tehrani.
Riba hawaweza kupunguza..Mambo ya uchumi hayana uhalisia ni siasa tu.
 
View attachment 3393487
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.

Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa zimeongezeka hadi kufikia TZS1,194,800,000,000.

Kupungua kwa mikopo chechefu kutoka 9.3% hadi 3.2% kunaashiria Tanzania sasa mzunguko wa fedha (M3) umeongezeka na hivyo kufanya biashara nyingi kuweza kukopa na kurejesha mikopo bila mikwamo kama ilivyokuwa hapo awali.
Rubbish mwachieni Lissu
 
Mikopo watu lazima wailipe ila walipaji wanabakiwa bila kitu, (empty handed), cha ajabu wakimaliza kukopa wanakopa tena kwavile hawana pesa tena walikopa kuulipa huo mkopo
 
Back
Top Bottom