Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,491
Upuuzi mwingine wa CCM, ‘bi-tozo’ amekuwa asset manager sasa wa kila bank Tanzania.
Bank zenyewe sehemu kubwa ya mikopo yao ni payday lending na serikali inawakata watumishi juu kwa juu, kuna risk hapo kweli.
Kikubwa hapo ni taasisi za serikali kuweka hela zao kwenye banks savings, na hela hizo hizo kutumika kununulia bonds za serikali.