Tanzania are so boring! (an article from Uganda Observer)

you missed the point, acha jazba soma tena utamwelewa alichokuwa anamaanisha
Baraza la taifa la mitihani limetangaza matokeo ya mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi ya mwaka 2015 na kwamba ufaulu kwa jumla umeongezeka asilimia 11. Kuhusu ufaulu wa somo la Kiswahili umeongezeka hadi 70% lakini wa somo la Kiinglish umeshuka hadi 40%.
 
.. Best summary of our peaceful elections.. we had hiccups but Tanzania Prevailed... Some external interference was sniffed..Let the national security take up the issue as appropriate!

Ohhoo!! good huyu yuko vizuri kwa uandishi hata atakayetaka kumarrest lazima ajihoji saana, lakini nimkumbushe kidogo mfumo wa utawala wa Gaddaf, M7, Kagame na CCM ni mmoja tu, hauna tofauti ila wao ni one man show kwetu sisi ni one part show, haiwezekani kwenye nchi iliyopevuka kidemocrasia chama tawala kinabaka uchaguzi, anayetangazwa cyo anayechaguliwa na wengi, mfano mzuri ni Zanzibar wameweka mpira kwapani hao!!!!!!!!!!!!
 
Satire with a touch of humour hope M7 gets the message
 
Elimu Jamani ni shiiiiida. Kuna jamaa wana comment humu bila kuelewa maudhui ya mwandishi.
 
What can I say... Ouuuuch!! beautiful piece indeed. Somebody in Kampala will have to find the guy a ticket to Tanzania...
 
This is satire at its best. Big up Nkundad
 

This is satire at its best. It is transparent to few and opaque to the many blind folded. Big up Nkundad.
 
Nimeisoma mara mbili hii article. Nikacheka sana. Jamani hakuna anayeweza kutafsiri na wengine humu JF wakafaidi? Nafahamu wengi humu JF hawawezi kabisa kuielewa hii article.
 
Huyu jamaa ameteleza sehemu moja: badala ya guys anaandika gays.
 
hivi karudi uganda kweli huyu mwandishi?naona kamzodoa m7
 
leo wakimbiizi wanatufundisha namna ya kuishi nyumbani kwetu baada ya kuwa karibisha!!!
 
Kweli huyo ni human right "expect"......

Alitaka tu-shade blood ili apate cha kusema na kuandika kama "expect" wa refugees issues??

What a looser

Hiyo ni mbwembwe za lugha alikuwa anafikisha ujumbe uganda kuwa Tanzania uchaguzi unafanyika kwa amani wapinzani wanaruhusiwa kufanya kampeni matokeni yanarushwa luningani kitu ambacho Uganda kwao ni ndoto
 
Kweli huyo ni human right "expect"......

Alitaka tu-shade blood ili apate cha kusema na kuandika kama "expect" wa refugees issues??

What a looser

Naona hujamwelewa mwandishi kabisa. Katumia tashtiti kufikisha ujumbe Uganda (kaandika kinyume nyume). In short kasifia demokrasia yetu, akilinganisha na nchi majirani.
 
Ahsante..... hao UG ndo tuliowagomboa from dictator?!!?

Ndio kasema hilo,na amesifia Tanzania kuheshimu term limits ndio maana kasema leo hii kuna marais Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete wakiwa na nguvu zao lakin waliilachia madaraka.

Kifupi,mwandishi anasifia demokrasia ya uchaguzi Tanzania na kuwa Tanzania ipi tofauti sana na nchi zingine za ukanda huu kama Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…