Paper yake inafaa sana kupresent misikitiniMwana historia kaandika paper yake. Nyinyi badala ya kuja na amma kupinga kwa hoja amma kukubali kwa hoja. Mnahaha na kuanza kila aina ya matusi. Inaonesha wazi ni watu wa aina ipi.
Mngeanza na hao ma hero wenu. Sidhani kama mtaweza bila ya kuwataja hao hao aliowataja Mohamed Said.
Mohamed Said ahsantum. Uyaandikayo ni mambo ambayo wenye macho yasiyoona hawawezi kuyaona, wenye masikio yasiyosikia hawawezi kuyasikia na wenye maradhi kwenye nyoyo zao basi maradhi yatawazidi.
mkuu Nicholas kuna mtu kasema eti mkwawa wa kalenga naye ni mmoja wa mashujaa wa nchi hii.,nakuomba kwa heshima na tahadhima utudondoshee elimu kuhusu mhehe huyu.
Ukiwa na Mania ni sawa na kubeba gunia la maharage... Ni utumwa...Wanaukumbi,
Nimeweka hapa (attach) mada niliyowasilisha Nairobi kwenye ''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.
TANZANIA - A NATION WITHOUT HEROES by MOHAMED SAID
[TABLE="width: 632"]
[TR]
[TD]Conclusion
Where have the heroes and heroines of the struggle for independence gone to? Is it that Tanzania is an ungrateful nation and therefore hates its heroes?
....
....Muslims instead are in their own ways honouring the forgotten heroes of independence movement and in so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand up against oppression as their forefathers had done against foreign domination. Muslim heroes of the......
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Paper yake inafaa sana kupresent misikitini
''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.
Wewe zako umeshawahi "kupresent" wapi? hii uionayo humu alialkwa:
Jee, reformer, umeshawahi kupata mwaliko wa "kupresent" paper yoyote ile, japo kanisani?
Who are your heroes?, the al shabaab and their friends?( including you!) Shame on you Bloodthirsty terrorists!
Kabla ya Wajerumani ukimuondoa Muarabu ambaye ndiye mgeni wa kwanza, walikuwepo Wareno walioivamia Kilwa na watu waliopigana na Wareno kama nipo sahihi ni Waislamu! vipi leo tuelezwe kuwa waliopigania uhuru kabla ya Mjerumani kutia mguu Tanganyika ni watu ambao hawakuwa na dini?![/QUOT
Umenielewa lakini?hivi tanganyika ni kilwa peke yake?
Haya ndiyo maneno yako :Umenielewa lakini?hivi tanganyika ni kilwa peke yake?
allah wenu sio mstaarabu!
kanisa siyo pango la wanyang'anyi! Unatoatoa tu kila kilicho akilini