Tanzani institute of Education (TIE) acheni ku-duplicate vitabu vya waandishi binafsi na kuviweka kwa online library yenu

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,286
21,465
Tangu vijana wafunge shule nimekua buzy kusoma vitabu vya Tie viliko online na notes ili ni waandalie wanangu wanao ingia form one na form three vitabu vya kiada sahihi vipya.

Ila nilicho gundua vitabu vingi vilivyo wekwa online library ya Tie nikama hivi nilivyo nunua kwa waandishi binafsi mwaka jana kwa maana TIE we-mecopy na ku-paste vitabu vya wa andishi binafsi na kubandika majina ya ma professor wao fake wasio weza kuanda notes sahihi za watoto wa sekondari wakati resources mnazo, A-level sijaangalia ila kwa o-level mmechemsha mko very shallow and disorganised kimpagilio ishara tosha inao onyesha kwamba content sio yenu, ni ya author wengine huo ni ubabe na kuua ushindani katika sekita ya Elimu.

La pili notes nyingi mlizo weka mtandaoni zina makosa ya ki uandishi na Grammer sahisheni plz, mna potosha watoto wetu kwa wazazi wenye background ya ualimu kama mimi nimeona makosa hayo mengi.
 
Silabasi ina content hiyo hiyo Sasa TIE watumie silabasi ipi?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Bila evidence huwezi eleweka. piga picha angalau paragraph kadhaa za TIE na zile za waandishi binafsi ukionyesha maeneo ambayo ni 1. Copy and Paste, 2. Gramatical errors
 
Wewe chukka kitabu chochote cha zamani uliganishe na notes zao utagundua mapema, sema tu watanzania hatuko makini katika mambo ya kusoma vitabu.
 
Back
Top Bottom