TANROADS wafilisika rasmi!

TANROADS wafilisika rasmi!

Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
Hahaaaaa mpwaaa pengine chawaa,,viborobotooo wamemtembeleaaa sasa ntarudibadae
 
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!

Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.

Mwenye updates zaidi atujuze plzz!

TANROADS si taasisi, TANROADS ni wakala (Agency). Kumbuka hilo, hilo la kufilisika si kweli, labda ni wewe uliyefilisika kimawazo.

Barabara ipi haipitiki? daraja lipi halipitiki?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Huyu hajui kama yeye hajui(HAJITAMBUI)
TANROAD itafilisika vp wakati siyo kampuni Ya biashara?
Huwenda ame maanisha serikali!
msilaumu ndo watanzania iq zetu zilivyo. mrekebisheni tu ajitambue
 
TANROADS si taasisi, TANROADS ni wakala (Agency). Kumbuka hilo, hilo la kufilisika si kweli, labda ni wewe uliyefilisika kimawazo.

Babara ipi haipitiki? daraja lipi halipitiki?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

wengine hawaaa loh..
hivii umeenda kumuaga BABA LULU???
 
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!

Hahahaaa kweli kabisa, ingesaidia sana!
 
sasa kama wakandarasi hawajalipwa muda Wa mwaka sasa ni kufanikiwa huko? hela za road fund ambazo ndo hutumika kulipa wakandatasi sasa ndo zinaendesha nchi,kwa kuwa nchi haina pesa

Bado hujatetea hoja ya 'kufilisika' kwa Tanroads, imefilisikaje? Halafu source ya habari hii wapi?
 
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
lazima wewe utakuwa miongoni mwa walioifilis tanroad. Povu la nn shusha data hapa
 
Ndio raha ya JF ukileta uzi ulio jaa utumbo utatafuta njia ya kutokea
 
TANROADS si taasisi, TANROADS ni wakala (Agency). Kumbuka hilo, hilo la kufilisika si kweli, labda ni wewe uliyefilisika kimawazo.

Babara ipi haipitiki? daraja lipi halipitiki?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.

Babara = Barabara!
 
Khaa!! Wengine sisi wageni humu. Hivi Tanroads ni kampuni inayojishughulisha na nini?
 
Hata kama ni moja ya taasis za serikal wanatakiwa wajiendeshe kwa ufanis kufiliska haiwez kwan hawafany biashara hao ni entity ya serukal
 
... aahh,
haiwezekani wagawa tenda wafilisike wkt wana 10% ya supervision ktk kila mkataba.

acha zile % za ufisadi.
 
Back
Top Bottom