Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,395
Join Date : 15th February 2015
Posts : 15
Rep Power : 306
Likes Received0
Likes Given0
Posts : 15
Rep Power : 306
Likes Received0
Likes Given0
Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
sasa kama wakandarasi hawajalipwa muda Wa mwaka sasa ni kufanikiwa huko? hela za road fund ambazo ndo hutumika kulipa wakandatasi sasa ndo zinaendesha nchi,kwa kuwa nchi haina pesa
1. Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.
2. Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana.
3. Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.
Haya ndio matunda ya kuwa na "Serikali sikivu" Serikali ambayo imejaa mafisadi kuanzia Ikulu na katika kila wizara. Serikali ambayo imegubikwa na kashfa chungu nzima kila mwaka kuanzia 2005 mpaka 2015. Serikali ambayo kwa mwaka iliongeza deni la Taifa toka shilingi trilioni 10 mwaka 2005 hadi kufikia shilingi trilioni 35 mwaka huu huku kukiwa hakuna la maana lolote lilifanywa pamoja na kuongeza deni la Taifa kwa shilingi trilioni 2.5 kwa mwaka.
hii ni kweli kwani wakandarasi wa kichina waliambiwa wapeleke taarifa zao za madeni kwa serekali ya tz kwenye ubalozi wao, mwezi wa kumi mwaka jana na serekali ya china baada ya kupitia taarifa wakaamua kuwalipa wakandarasi wao kupitia serekalini kwa kigezo cha mkopo wa masharti nafuu! Walitoa bilioni 300! Hiki kiasi ni kidogo na hakikutosheleza! Sasa kwa taarifa za karibuni nasikia ubalozi huo huo umeitisha tena utaratibu huo? Sasa ndio tuseme wachina wanataka kutununua burebure?Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!
Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.
Mwenye updates zaidi atujuze plzz!
hii ni kweli kwani wakandarasi wa kichina waliambiwa wapeleke taarifa zao za madeni kwa serekali ya tz kwenye ubalozi wao, mwezi wa kumi mwaka jana na serekali ya china baada ya kupitia taarifa wakaamua kuwalipa wakandarasi wao kupitia serekalini kwa kigezo cha mkopo wa masharti nafuu! Walitoa bilioni 300! Hiki kiasi ni kidogo na hakikutosheleza! Sasa kwa taarifa za karibuni nasikia ubalozi huo huo umeitisha tena utaratibu huo? Sasa ndio tuseme wachina wanataka kutununua burebure?