Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,129
- 2,982
Hizi taasisi ziendane na wakati, maana ni muhimu ktk upatikanajibwa huduma za mawasiliano kwa njia ya barabara.
Hali ilivyo sasa inaonekana kama hawana utaratibu wa kukagua barabara ama wanapuuzia.
Tuiombe wizara husika ihakikishe hizi taasisi zinaweka namba, kufungua akaunti katika mitandao ya kijamii ili wananchi wawe wanaripoti haraka vihatarishi vyote barabarani.
Nawao pia wawe wanajibu kuonesha wanetatua changamoto hizo. Hii itasaidia sana ufanisi wao lakini pia kuwa na usalama barabarani kwa watumiaji wote.
Nawasilisha..
Mapinduziiiiiiii……. Daimaaaaaaaaa.