TANROADS pale Mbezi mwisho jengeni bypass kama hii

Nimesomea kidogo haya mambo.

Kwa kukusaidia tu ni kuwa hizi Interchange hazijengwi mjini ila pembeni mwa mji na nje a mji. Mjini zipo za aina nyingine kidogo.

Ila kama unavyoona kwenye picha, nadhani mjini ni upande wa kushoto na tayari foleni zimeanza.

Foleni nazo huwa huwa zinaheshimu Newton's Law:
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.

Unaweza kumaliza foleni za magari duniani au kwenye nchi yoyote? HAPANA.
Solution na kutengeneza Public Transport na kuzuia magari ya watu Binafsi kuingia mjini.
c358078bdcd77581e254e668bdb2ec58.jpg

Goba - Kinyerezi vs City center- Kibaha
 
Nimesomea kidogo haya mambo.

Kwa kukusaidia tu ni kuwa hizi Interchange hazijengwi mjini ila pembeni mwa mji na nje a mji. Mjini zipo za aina nyingine kidogo.

Ila kama unavyoona kwenye picha, nadhani mjini ni upande wa kushoto na tayari foleni zimeanza.

Foleni nazo huwa huwa zinaheshimu Newton's Law:
Newton's First Law of Motion states that a body at rest will remain at rest unless an outside force acts on it, and a body in motion at a constant velocity will remain in motion in a straight line unless acted upon by an outside force.

Unaweza kumaliza foleni za magari duniani au kwenye nchi yoyote? HAPANA.
Solution na kutengeneza Public Transport na kuzuia magari ya watu Binafsi kuingia mjini.
mkuu mbezi ni nje ya mji na ndipo una weza fanya distribution ya traffic na pana nafasi kwa sasa
 
Mkuu Tabutupu, ulileta suggestion yenye mashiko sana. Pamoja na hayo, nikiri tu kuwa kinachojengwa pale Mbezi mwisho hakina ile hadhi na hakitatoa suluhisho la kudumu kwa foleni za njia zile(makutano ya Goba-Kinyerezi vs Kibaha-city center).

Nimeona mchoro unaotekelezwa pale, ni mwendo wa roundabouts na mataa tu pale, sikuweza kuukopi na kutupia humu as mtu alinionyesha tu, lakini hauna viwango hata kidogo. Kutakuwa na roundabout tatu, moja ya Goba (ambayo tayari ipo), adjacent na Goba itakuwepo nyingine na kule kukunja kuelekea Kinyerezi itakuwepo tena.

Kuna daraja linajengwa ili gari zinazoenda Kinyerezi zipite chini, then zinazoenda stand ya daladala zipite juu. So makutano Morogoro road- Goba road ni mwendo wa taa.

Naona foleni ya ubungo ikihamia Mbezi mwisho.
 
Nijijua watakacho kifanya mbezi ni kituko, sijui kwa jini tanroad hawataki kujifunza.

Tanroad wanatia aibu kutujengea vitu vya kuunga unga.

Mkuu nakuunga mkono kabisa. nadhani wanasubiri Jica au world bank waje waambie nini cha kufanya ..
Mkuu Tabutupu, ulileta suggestion yenye mashiko sana. Pamoja na hayo, nikiri tu kuwa kinachojengwa pale Mbezi mwisho hakina ile hadhi na hakitatoa suluhisho la kudumu kwa foleni za njia zile(makutano ya Goba-Kinyerezi vs Kibaha-city center).

Nimeona mchoro unaotekelezwa pale, ni mwendo wa roundabouts na mataa tu pale, sikuweza kuukopi na kutupia humu as mtu alinionyesha tu, lakini hauna viwango hata kidogo. Kutakuwa na roundabout tatu, moja ya Goba (ambayo tayari ipo), adjacent na Goba itakuwepo nyingine na kule kukunja kuelekea Kinyerezi itakuwepo tena.

Kuna daraja linajengwa ili gari zinazoenda Kinyerezi zipite chini, then zinazoenda stand ya daladala zipite juu. So makutano Morogoro road- Goba road ni mwendo wa taa.

Naona foleni ya ubungo ikihamia Mbezi mwisho.
 
Mkuu Tabutupu, ulileta suggestion yenye mashiko sana. Pamoja na hayo, nikiri tu kuwa kinachojengwa pale Mbezi mwisho hakina ile hadhi na hakitatoa suluhisho la kudumu kwa foleni za njia zile(makutano ya Goba-Kinyerezi vs Kibaha-city center).

Nimeona mchoro unaotekelezwa pale, ni mwendo wa roundabouts na mataa tu pale, sikuweza kuukopi na kutupia humu as mtu alinionyesha tu, lakini hauna viwango hata kidogo. Kutakuwa na roundabout tatu, moja ya Goba (ambayo tayari ipo), adjacent na Goba itakuwepo nyingine na kule kukunja kuelekea Kinyerezi itakuwepo tena.

Kuna daraja linajengwa ili gari zinazoenda Kinyerezi zipite chini, then zinazoenda stand ya daladala zipite juu. So makutano Morogoro road- Goba road ni mwendo wa taa.

Naona foleni ya ubungo ikihamia Mbezi mwisho.
Bado nawakumbusha tanroad kufikiria upya pale mebzi
 
Tanroads tunaomba sana wakati mnajenga barabara ya Kimara - Kibaha hakikisheni mnajenga kwa kiwango cha kimataifa, dar es salaam tunahitaji bypass roads, na sio mtuwekee taa za kuongozea magari.

Jifunzeni kenya , wameawezaje ?

Tunahitaji barabara ambayo mtu akitoka Kibaha, iwe ni none stop hadi bandarini.

Jengeni Highway ya kueleweka, mmebomoa na mna nafasi ya kutosha, hamna sababu ya kujenga vibarabara vya ajabu ajabu.

Bypass ya kwanza ni pale MBEZI MWISHO .
Kwenye strategic project management, mradi huwa ume fail tangu kwenye drawing board. Timu nzima ya mkandarasi na msimamizi/ consultant wafikirie nje ya boxi na kutoa mapendekezo ya kuondoa uwepo wa magari kusimama na kuongozwa na mataa naona inawezekana sana ila mchakato wake sasa ni nani atakayekubali gharama zake?.
 
Uwa najiuliza unashindwaje kujenga daraja wakati wataalam, materials kama cement, nondo nk zipo ndani ya nchi? Nashauri eneo lote la hifadhi ya barabara toka KIMARA-MBEZI TANROADS wawape wawakezaji wajenge Hotels, supermarket, Petro station zenye mvuto nk, ili kuleta muonekano unaendana na miji ya kisasa.
Too late mbezi na kimara zishakuwa slums labda wabomoe nyumba zote waanze kujenga upya
 
Bado nawakumbusha tanroad kufikiria upya pale mebzi
Sijui kwa nini hawakufikiria kujenga njia za juu kwenye yale makutano, ubungo inahamishiwa Mbezi na utawala hawaoni hilo, badala yake wameamua kujenga overpass Kibamba, kwa nini wasijenge pale Mbezi ambapo kuna makutano ya njia nyingi?

Inasikitisha!!!
 
Huu ni ufisadi
 
Kuna MTU ana picha ya kinachojengwa hapo?
 
Mkuu Tabutupu, ulileta suggestion yenye mashiko sana. Pamoja na hayo, nikiri tu kuwa kinachojengwa pale Mbezi mwisho hakina ile hadhi na hakitatoa suluhisho la kudumu kwa foleni za njia zile(makutano ya Goba-Kinyerezi vs Kibaha-city center).

Nimeona mchoro unaotekelezwa pale, ni mwendo wa roundabouts na mataa tu pale, sikuweza kuukopi na kutupia humu as mtu alinionyesha tu, lakini hauna viwango hata kidogo. Kutakuwa na roundabout tatu, moja ya Goba (ambayo tayari ipo), adjacent na Goba itakuwepo nyingine na kule kukunja kuelekea Kinyerezi itakuwepo tena.

Kuna daraja linajengwa ili gari zinazoenda Kinyerezi zipite chini, then zinazoenda stand ya daladala zipite juu. So makutano Morogoro road- Goba road ni mwendo wa taa.

Naona foleni ya ubungo ikihamia Mbezi mwisho.
Mkuu naona wamesikiliza maoni ya wadau na sasa hakuna tena mataa..
 
Back
Top Bottom