Tanroads mtwara!!!!

ulanzi mtamu

Senior Member
May 19, 2012
102
11
Wadau naomba kuuliza kwa yeyote yule ajuaye kuhusu ajira za tanroads mtwara kama zimetangazwa au zinakaribia kutangazwa...
 
Pitia vizuri bandiko lako, naamini swali lilitakiwa kuwa interview itaitwa lini na sio ajira itatangazwa lini.

Ilibidi aulize interview...kwani yeye anajua kwamba Tanroads Mtwara ibadidi watangaze vacancies? Otherwise labda awe mshirika na RM wa pale, Mi nipo Mtwara lakini hamna news kama hizo...
 
Back
Top Bottom