KERO TANROADS Engineering Consulting Unit (TECU) mambo shaghala baghala

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TECU ni moja lakini kila Meneja wa Mkoa anafanya anavyojua na Chief Eng. Mwandambo hajui hata kinachoendelea.

Napenda kuuliza kwanini wafanyakazi wa TECU kwenye miradi mikoa mingine wanalipwa kila mwezi na mikoa mingine wanadai hadi miezi 9?

Mikoa mingine hawakatwi kwenye responsibility/site allowances wakati mikoa mingine wanakatwa 10%, mikoa mingine 20% na mingine 30% na hiyo hela inayokatwa inaenda wapi?

TANRAODS ijitafakari, imeamua miradi mingi isimamiwe na TECU lakini hawajacentralize kila Meneja wa mkoa anafanya anavyotaka na watu wanaishi maisha magumu, kwanini wafanyakazi wa TECU wasiwe wanalipwa siku moja nchi nzima?

Kwanini Mameneja wa Mikoa mingine wanawakata wafanyakazi 30%, 20% 10% na wengine hawakatwi kitu? Tena wale ambao hawakatwi ndo wanalipwa kwa wakati?

TANRAODS wakitaka TECU ifanye vizuri waifanye km REA ili iwe independent. Na wafanyakazi walipwe directly from TECU HQ ili kuondoa mikoa mingine watu wanateseka sn. Chief Engineer wa TECU Eng. Mwandambo sijui anafanya kazi gani maana hakuna kitu cha TECU kinaenda kwake na hana decision yeyote kuhusu TECU ndiyo maana sijui km anajua kuwa kuna mikoa wanakatwa kwenye allowance na mingine hapana.
 
Tatizo ni RUSHWA ambayo kwa sasa hakuna yeyote anayekemea wala kufuatilia.

Lakini yana mwisho, ni suala la muda tu kufika basi.
 
Juzi kati hivi kwenye CCIT pale Superdome masaki waziri ulega aliagiza hili jambo na mambo mengine yafuatiliwe.
 
Back
Top Bottom