TanRoad Na X!!

TanRoad Na X!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Nikiona na cheka sana kwanini TanRoad wamechukua hatua hii ya kuweka X mabango Jiji zima kwakusingizia mabango yapo kwenye Barabara zao??wakati kuna mabango yapo kwenye viwanja vya watu nayo wameweka X!
Je kwanini hawakuwambia Jiji waliokuwa wametoa vibali wawaambie wateja wao kwamba utaratibu umebadrika hivyo tunawapa notice ya wiki muwe mmetoa mabango yenu!1Kuliko walivyofanya nakuoneka mji wote ni X kama vile hautakiwi unatakiwa kuchomwa moto!!
 
Kwa kweli inakera sana. Hapo ndo ujue kwamba shughuli hapa nchini ziko fragmented. Kila idara inafanya kazi zake bila kujali wadau wengine. Nadhani kabla ya kuweka hizo X walitakiwa kuwasiliana na manispaa
 
Nikutafuta sifa za kijinga!!
 
Kawaida mtu kabla hujafanya mengi lazima utafute njia, na watu wengi wana ignore kujua permission zinapatikanaje kuhusu kutangaza barabarani hata sehemu yingi tu, wana haki ya kuweka X kama ni viwanja vya watu sababu ad inaonekana barabrani.

mkumbuke tunasaidiwa nao ajali zipungue pia.

Unajuae kama walipewa warning waka ignore na sasa ndio XXs zimejaa

Good work Tanroads

wabongo tusifanye mambo bila mpangilio
 
Nikiona na cheka sana kwanini TanRoad wamechukua hatua hii ya kuweka X mabango Jiji zima kwakusingizia mabango yapo kwenye Barabara zao??wakati kuna mabango yapo kwenye viwanja vya watu nayo wameweka X!
Je kwanini hawakuwambia Jiji waliokuwa wametoa vibali wawaambie wateja wao kwamba utaratibu umebadrika hivyo tunawapa notice ya wiki muwe mmetoa mabango yenu!1Kuliko walivyofanya nakuoneka mji wote ni X kama vile hautakiwi unatakiwa kuchomwa moto!!

unauhakika hizo x kwenye mabango zimewekwa na tanroad?!, mi nilidhani x zimewekwa kwenye mabango ambayo hayajalipiwa. Tafadhari mwenye ukweli atujuvye.
 
kuweka X X ni sahii kabisa, kuna mvulugano wa mpangilio wa mabango hapa nchini, mengine yanaziba barabara, mengine hayaripiwi kodi, hivyo ni vizuri kuwa na mpangilio na yale yote yaliyoruhusiwa wawe na nembo au alama za kuonyesha kuwa yameruhusiwa kiharari kuwepo pale, kuna kona mbaya au kuziba hata mwanga wa taaa wakati wa usiku hivyo wahusika wapangilia vizuri ili mji uwe na mabango mazuri na mpangilio ya mji, chukulia mabango yote ya kumtangaza JK yangelipiwa ipasavyo tungekuwa na shilingi ngapi barabara za kijtonyama sizingepigwa pass kwa greda ili kupunguza mashimo
 
Nakumbuka Magufuli aliwai ngoa bango kule airport alipoondoka iyo wizara mabango yameanza kujitokeza.
Sasa amerudi kazi wanayo bse kwenye mabango kuna rushwa mbaya
 
Nakumbuka Magufuli aliwai ngoa bango kule airport alipoondoka iyo wizara mabango yameanza kujitokeza.
Sasa amerudi kazi wanayo bse kwenye mabango kuna rushwa mbaya

Kwakuwa hayana marejesho ya hesabu ndiyo maana rushwa itawale kwani mkaguzi wa serikali huko agusi!
 
Hapo tutalipa fidia....lazima....mbona wasiyapige hizo X wakati yamejaa mapicha ya mkwere?
 
Back
Top Bottom