TANROAD Morogoro wameshaita kwenye usaili?

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
637
555
Habari zenu wanajukwaa,

Nilikuwa naulizia zile nafasi walitoa TANROAD mkoa wa Morogoro kama wameshaita watu kwenye usaili ama ndio tuendelee kuvuta benchi na kusubiria zaidi.

Deadline ilikuwa mwezi wa sita.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Tanroad bana hata kama ana ajili kwa short term contract apeleke tu Utumishi ndio wamletee watu kuliko huo Urasimu anaoufanya, Tanesco yey ana ajili watu for 12 months contract ila still ni utumishi ndio anasimamia sasa tanroad yeye kwanini asifanye ivo sasa ivi mtu ujui kuwa watu wameitwa au lah unakuja kushtuka watu wapo kazini
 
TANR wanazingua kweli, kuna wakati unatuma maombi ya kazi hawakuiti.. BORA AJIRA.GO.TZ WASIMAMIE TU
 
Kuna mshkaji alinipigia jana anasema amepigiwa simu aende kwenye interview.
 
Back
Top Bottom