Boss, unaijua hii app???. Hii inaitwa whatsappSPY ( ina option kama whatsapp web ). Utascan tu Code za shemeji then kwisha kazi. Utakuwa umemmaliza. Kila atavyokavyokuwa anachart we utakuwa unaona. Wakitumiana picha, video n.k vyote utakuwa unaona live. Tena now hata ukitaka kumjibia sms unaweza. Pia utaweza hata kumbadilishia profile picture.
Apps za whatsapp web zipo zinazoweza fanya hii kazi ila nyingi ni chenga, zinazingua, na server zao haziko strong na zina matangazo kibao.
Ila hii niliyonayo mimi ni kiboko. Ina MB 50.59
Nimeihifadhi kwenye madia fire, playstore haipo.
Mwenye kuihitaji aje PM na Elfu tatu tu ya maji.
View attachment 967759View attachment 967761View attachment 967763