mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,969
Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi chake.
Tulijikuta tumekuwa karibu kwa lengo la kusaidiana masomo
Darasa letu lilikuwana watoto zaidi ya 100,na kulikuwa na A,B,C,D.
Mwaka wetu tulihitimi zaidi ya 400. Kwa hiyo ili kujuana lazima kuwe na kitu cha kuwaunganisha.Nukajikuta niko karibu na Haji
Haji Manara hakuwa kilaza darasani ila ninachokumbuka kila alipotongoza aliambulia kibuti,aliishia kula kwa macho,mademu zetu sliishia kuwaita shemeji
Aliishia kuwanunulia mihogo pale kwa baharia Said Mihogo lakini ikifika muda wa kupewa tunda anazungushwa tuu
Kumbuka miaka hiyo tunaanza la kwanza na miaka 8 hadi 10 so darasa la tano unakuwa umeshabalehe na binti anakuwa ameshavunja ungo,
Pili shule yetu ilikuwa ni moja ya shule zenye watoto wahuni sana kwa Dar ya enzi zile,bangi pamoja na kuanza mapenzi shuleni ilikuwa kawaida
Yanayomkuta leo hayakuanza jana wala juzi,ameteseka sana juu ya mapenzi kitambo.
Hapa naongelea MId 80s to early 90s tuelewane.
Hapa tusihusishe rangi pliz pliz,Babu Sikare almaarufu kama Albino Fulani,msanii wa Hip Hop,alikuwa albino ila watoto wazuri wote walimpenda kuanzia shule mpaka mitaani na aliwafaidi kweli.
Familia ya akina Possi wamekulia Tabata magengeni nimewajua kitambo tu,wasichana walikuwa wanajigonga kwao mpaka mama yao anawakimbiza.
Haji ana misifa sana,kipindi tunasoma alikuwa akisema yeye sio Mtanzania kazaliwa Ulaya na kweli alikuwa na Passport ya nchi fulani ya Ulaya,siikumbuki,alikuwa akitembea nayo kila Mahali