Tangu nifanye naye mapenzi, ameniganda kama ruba

Tangu nifanye naye mapenzi, ameniganda kama ruba

Wakati unammiminia mauno huyo mtoto haukumwona, umemkunja vizuri sasa kakukolea eti unaleta hoja ya mtoto, muoe sasa. Ndo maana mnaambiwa msimalizie ufundi kwa wanawake msiowataka umeona sasa? Ukome
 
hellw wana JF


Kuna msichana ambaye ni miezi kama mi tatu hivi tangu ni sex naye imekuwa shida yaan ameniganda zaidi ya luba mbaka nahisi nitumie njia gani ya kutokuwa naye.

tatizo huyo she ana mtoto wa miaka 3 na mimi wala simpendi na wala simkubali coz mkataba wake na wangu ulishakwisha tangu tu sex,amekuwa akinipa zawadi twingi twingi tu na mda wote anataka kuongea nae tu kwenye simu na mda mwingi anaongea kama ametokea kunipenda sana .


NISAIDIEN WADAU NIFANYAJE ILI NIM KWEPE

Hahaha...pole.jaribu kumnyoso den atajitoa mwnyew
 
Mkuu yaani watu kama hao mi huwa wananikera kujidai kuponda wakati washakula,hawa ndio wanasababisha sie tupate shida wakati wa kutongoza,wanasababisha tunakuwa tunakataliwa bila sababu za msingi wakati tuna sifa zote.Nadhani anasumbuliwa na bale.he.

huyo dawa yake ni kununuliwa azam tv tu basi
 
Wakati unammiminia mauno huyo mtoto haukumwona, umemkunja vizuri sasa kakukolea eti unaleta hoja ya mtoto, muoe sasa. Ndo maana mnaambiwa msimalizie ufundi kwa wanawake msiowataka umeona sasa? Ukome

ninge mnyima ningeonekana me mchoyo wakati uchoyo ni DHAMBI
 
Mkuu yaani watu kama hao mi huwa wananikera kujidai kuponda wakati washakula,hawa ndio wanasababisha sie tupate shida wakati wa kutongoza,wanasababisha tunakuwa tunakataliwa bila sababu za msingi wakati tuna sifa zote.Nadhani anasumbuliwa na bale.he.
kweli anasumbuliwa na balehe
 
Ulimtumia wakati una kiu yako tu, baada ya kukata kiu humtaki tena! Duuu.
 
Back
Top Bottom