Tangu nifanye naye mapenzi, ameniganda kama ruba

Tangu nifanye naye mapenzi, ameniganda kama ruba

We jamaa unalewa au unavuta sigara..unataka tukusaidie namna ya kumsalit mpenz wako...yan umemfanya afu unataka askupende..bro have you run mad?
 
Dadaako,au mwanao angefanyiwa hayo ungefurahi??saiv unajiona kidume unatamba kbs kakuganda..mtafute dada wa watu mtake radhi na umweleze hayo..ila what goes around comes around..acha kuchuma dhambi
 
Dadaako,au mwanao angefanyiwa hayo ungefurahi??saiv unajiona kidume unatamba kbs kakuganda..mtafute dada wa watu mtake radhi na umweleze hayo..ila what goes around comes around..acha kuchuma dhambi

bwana yesu amenisamehe
 
msex tena .... swala la mtoto umeliona baada ya kumkojolea huku unamwambia i love u ... usaidiwe nini sasa? mwambie kuwa humpendi huna maana wewe mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu

Mkuu yaani watu kama hao mi huwa wananikera kujidai kuponda wakati washakula,hawa ndio wanasababisha sie tupate shida wakati wa kutongoza,wanasababisha tunakuwa tunakataliwa bila sababu za msingi wakati tuna sifa zote.Nadhani anasumbuliwa na bale.he.
 
Mbona kazi ndogo sana hiyo!
Muombe tigo!
Lazima akimbie!!
 
Tulia na mzazi mwenzio wa ubatizo mumlee mwanenu komando Yoso
 
Last edited by a moderator:
hellw wana JF


Kuna msichana ambaye ni miezi kama mi tatu hivi tangu ni sex naye imekuwa shida yaan ameniganda zaidi ya luba mbaka nahisi nitumie njia gani ya kutokuwa naye.

tatizo huyo she ana mtoto wa miaka 3 na mimi wala simpendi na wala simkubali coz mkataba wake na wangu ulishakwisha tangu tu sex,amekuwa akinipa zawadi twingi twingi tu na mda wote anataka kuongea nae tu kwenye simu na mda mwingi anaongea kama ametokea kunipenda sana .


NISAIDIEN WADAU NIFANYAJE ILI NIM KWEPE

Mpigie kura yako lowasa
 
Wewe bado ni mvulana,
Ungekua mwanaume ningesema chochote aiseee
 
Back
Top Bottom