the havenot
Member
- Dec 27, 2010
- 24
- 2
Mchepuko unakukera hadi unataman kumsimulia mkeo
Unatumia viroba?
Kwakweli!!Utachomwa moto we mkaka...
hellw wana JF
Kuna msichana ambaye ni miezi kama mi tatu hivi tangu ni sex naye imekuwa shida yaan ameniganda zaidi ya luba mbaka nahisi nitumie njia gani ya kutokuwa naye.
tatizo huyo she ana mtoto wa miaka 3 na mimi wala simpendi na wala simkubali coz mkataba wake na wangu ulishakwisha tangu tu sex,amekuwa akinipa zawadi twingi twingi tu na mda wote anataka kuongea nae tu kwenye simu na mda mwingi anaongea kama ametokea kunipenda sana .
NISAIDIEN WADAU NIFANYAJE ILI NIM KWEPE

Pengine anatumia sandarusi
Basi mwambie ukweli mapema ili baadae asije akajutia kwa mema anayokufanyia
Wa Ikoma badala ya wewe kuniganda kama luba, naomba mm ndiyo nikugande, unasemaje?
Utajua mwenyewe cha muhimu tarehe 25 muende wote kupiga kura
-Acha kumdhalilisha mwanamke aliyekupa uchi wake ukautumia.
-Acha Uzinzi.