puppa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 379
- 176
Bilashaka ulishatendwa wewe??
hapana sijatendwa mapenzi yenyewe siyajui nipo nausoma mchezo kwanza.
Bilashaka ulishatendwa wewe??
Na wamchague Magufuli
Na we mgande kama kupe
msex tena .... swala la mtoto umeliona baada ya kumkojolea huku unamwambia i love u ... usaidiwe nini sasa? mwambie kuwa humpendi huna maana wewe mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
hellw wana JF
Kuna msichana ambaye ni miezi kama mi tatu hivi tangu ni sex naye imekuwa shida yaan ameniganda zaidi ya luba mbaka nahisi nitumie njia gani ya kutokuwa naye.
tatizo huyo she ana mtoto wa miaka 3 na mimi wala simpendi na wala simkubali coz mkataba wake na wangu ulishakwisha tangu tu sex,amekuwa akinipa zawadi twingi twingi tu na mda wote anataka kuongea nae tu kwenye simu na mda mwingi anaongea kama ametokea kunipenda sana .
NISAIDIEN WADAU NIFANYAJE ILI NIM KWEPE
Unatumia viroba?
Tena aina ya double punch....