Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Huna mapenzi nae jamaa unataka hela zake tu na unaficha makucha. Mtu anakuoa anakuweka ndani bado unataka kumkomoa, shida ni nini?
Kaka mkubwa upo?longtime no see
 
kama hauna hela Tanzania hii,mapenzi utayasikia kwenye chombeza time tu
 
Inategemea

Mwengine hakupi sababu mchoyo

Akikuoa anajua kama uliweza kukava majukumu utaendelea kukava... utalipa kodi...utasomesha...utamlisha na kumvisha
 
Inategemea

Mwengine hakupi sababu mchoyo

Akikuoa anajua kama uliweza kukava majukumu utaendelea kukava... utalipa kodi...utasomesha...utamlisha na kumvisha
 
Cc demi me too ....fav thread yenu hii hapa!!
 
Siku hizi kama mwanamke hakutaki.na hataki.muachane kwa visa yeye anaomba hela tu

Yaani anaomba hela

Na kuomba helaaaa

Na kuomba helaaaaaa

Usipokimbia wewe kidume
ni kweli kabisaa.ila mimi kuna kitu kinanishangaza.nimeamua kukuchunia kwanini uendelee kunisumbua kwenye sim unataka nini tena na lengo lako nishakuelewa kuwa hunitaki? Wanawake mna mambo
 
Yani mapema hivyo,tena ungeshangaa umempa mpunga alafu akalala mbele bila hata kukupa papuchi
 
Huna mapenzi nae jamaa unataka hela zake tu na unaficha makucha. Mtu anakuoa anakuweka ndani bado unataka kumkomoa, shida ni nini?
Ndo maisha kaka,siyo kumkomoa itabidi atimize majukumu.Usikasirike Mkuu tunawategemea sana...hamjui tu
 
Huna mapenzi nae jamaa unataka hela zake tu na unaficha makucha. Mtu anakuoa anakuweka ndani bado unataka kumkomoa, shida ni nini?
Pesa yenyewe atakula nani kama si mwanae Mkuu!!?
 
Ndo maisha kaka,siyo kumkomoa itabidi atimize majukumu.Usikasirike Mkuu tunawategemea sana...hamjui tu

Kuomba laki moja ya pampers wakati kuna pampers ndani ni kumkomoa sio kutimiza majukumu maana jukumu la kununua pampers ameshatimiza
 
Kuomba laki moja ya pampers wakati kuna pampers ndani ni kumkomoa sio kutimiza majukumu maana jukumu la kununua pampers ameshatimiza
Akiba Rogie....nitanunua chupi,bra,taiti...freestyle ped.Vyote nikuambie nataka hela?
 
Siyo rahisi hivyo kama hamjajenga mazoea ya kusaidiana kabla ya ndoa ukiingia huko usidhani mambo yatakuwa rahisi hivyo.
Na kwa nini umchune mumeo ?
 
Maisha yenyewe ya kugawa 300k kama njugu yako wapi usawa wa huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…