Tangu 2012 napambana ila bado bado

Ni kweli kaka kama Kuna mdau yupo vizuri ni kheri akupe hio pesa,
 
Mimi kwanza nilishusha matarajio yangu yote ya maisha niliyokua nayo. Nikakubali kua sio wote lazima tufanikiwe mjini. Chakwanza niidhibiti njaa sio kila
Kitu nikanunue sokoni

Contrary to this, ndo kinachowakwamisha wengi. Vijana tumekua teketeke sana miaka hii. Mtu anaona akitoka dar atakufa.
 
Ni kweli kaka kama Kuna mdau yupo vizuri ni kheri akupe hio pesa,

We si umpe🙄
Seran_ ningempa uwezo ninayo mashaallah lakini nimetingwa Kwa sasa label inahitaji hela balaa gharama za kuanda video ya wimbo tu hatari, najisimamia mwenyewe, ila aniombe Kwa MUNGU kile tacho pata kwenye MZIKI tatoaa sana sana sana nadhani hawa wadogo zetu wajao watakula sana hela zangu inshaallah tuombeane uzima na afya
 
Tafuta mtu aliyejikomboa kwa kuuza chips akueleze namna ya kuanza mdogo mdogo.
 
We jamaa naomba sana misaada.

Au ndo wewe unakuja kwenye DM zetu na ID kila kukicha kuomba msaada?

Kama una afya njema toka nje kapambane. Hakuna free lunch
 
Ndio ujikusanye uitoe kama sadaka ili uzidishiwe na kazi zako zitafunguka bila shida!
 
Kwanini usitafute skills kaka then ukawa mzuri kwenye hiyo skills hela zitakufata tu, mfano nimeona watu wakifanikiwa kwa kuwa fundi simu, umeme wa magari, electronics repair mimi naona hiyo ni rahisi sana
 
Hakuna namna zaidi ya kuanza unachofikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…