valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,851
- 868
baada ya dada kuona mshipi wa jamaa...alizimia!
LoL!Je ingekuwa ni wewe Aminata?hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! atakomaje
samila kadunda nchi gani tena? Nalog offMbavu zangu jamaaniii!
:shock:Msichana mzuri aliweka tangazo kwenye gazeti akisema anatafuta mwanaume atakayemwoa,ambaye hata mwacha na atamridhisha kitandani.
kesho yake akashangaa jamaa anagonga mlango hana miguu wala mikono.mjadala wao ukawa hivi.
Mrembo:unagonga unataka nini wewe?
Jamaa:niliona tangazo lako kwenye gazeti,nimeamua nikuoe
Mrembo:nitakupeleka wapi mtu huna miguu wala mikono.
Jamaa:una bahati kuwa na mimi,sina mikono kwahiyo siwezi kukupiga,sina miguu kwahiyo siwezi kukuacha.
Mrembo:sasa we kweli kitandani uko fiti?
Jamaa:sasa ndo ujiulize sina mikono wala miguu ila mlango niliugonga na nini.
Aligonga kwa abdalah kichwa wazi